Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

huielewu=hailewi
Sijui shule mlienda kusomea ujinga?
Hailewi ni nini na wewe kaa kimya acha kujiona mjuaji wakati nawe mbugila tu.
HAIELEWI
Ndicho alichotaka kukisema Faiza...
Ama kweli mganga hajigangi...kukosoa kote watu kumbe nae hukosea!
Imebidi tumgange wengine...
 
Mimi mbona sioni tatizo la Wema jamani?
Kwahiyo asideke kama yupo wa kumdekea?
Binafsi sipendi dawa kabisa...hivyo mambo kama hayo ni kawaida sana.
#DekaNikudekeze
 
Hailewi ni nini na wewe kaa kimya acha kujiona mjuaji wakati nawe mbugila tu.
HAIELEWI
Ndicho alichotaka kukisema Faiza...
Ama kweli mganga hajigangi...kukosoa kote watu kumbe nae hukosea!
Imebidi tumgange wengine...
Wee umeamka na hangover?soma sentensi nzima aliyoandika FF ndo ufoke povu hapa.
 
Kuna mijitu humu huielewi halwa ni nini.

Sentensi ya Faiza hii hapa.
Ikiwa na kosa la neno huielewi (Akimaanisha...kuna mijitu humu HAIELEWI halwa ni nini.)

huielewu=hailewi
Sijui shule mlienda kusomea ujinga?

Wewe hapa ukatoa boko...badala ya kumsahihisha ukaboronga zaidi.
Hailewi unajua maana yake?
Kwani halwa ni kilevi hadi Faiza aseme hiyo mijitu hailewi?

Hailewi ni nini na wewe kaa kimya acha kujiona mjuaji wakati nawe mbugila tu.
HAIELEWI
Ndicho alichotaka kukisema Faiza...
Ama kweli mganga hajigangi...kukosoa kote watu kumbe nae hukosea!
Imebidi tumgange wengine...

Nikawasahihisheni nyote hapa...

Wee bwege umeamka na hangover?soma sentensi nzima aliyoandika FF ndo ufoke povu hapa.

Punguza jazba...kukosea ni jambo la kawaida tu.
Kubali kurekebishwa.
 
Ha ha ha ha ha kwamba hawezi kunywa vidonge mpaka aweke ndani ya haluwaaa....Ee Mungu tusaidie,nina bint wangu pekee....Mungu muongoze awe mwanamke mpiganaji na kioo chanya cha jamii,Wakati mimi nikiwa mavumbini,taswira yangu ibakie kwake kwa maneno na matendo ya mfano...

Nafikiri kuna uhusiano mkubwa sana wa maombezi ya kiroho/dua kati ya mzazi na mtoto wakati akiwa bado mtoto....Kuna haja ya kufunga na kuomba katika kuwaombea watoto zetu maisha ya baadae tutakapokuwa mavumbini!!

Huyu Wema siyo yule wa 2006 pembeni ya Jokate na yule Mjita wa Mwanza....Ama hakika nuru imeingiwa na kiza kabla ya muda wa machweo!!

Ameeni ujumbe kuntu
 
Apewe tu halua maake hamna namna tena,nasubiri part 2 je Wema alipewa halua?
 
lakini Mungu aliimuumbia sauti sautika sauti zaidi ya halua halua sauti yako tulizo la moyo hakika pia unajua kuitumia kuangamiza wale wenye masikio yenye kupenda sauti tamuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom