Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.

Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
 
Wivu tu
 
Bangi zake wewe zinakuhusu nini? Umbea huo.
 
Wema hizo bangi anaweza kuvuta mbele ya mama yake alivyo na misimamo yake, labda anavutia mbali na macho ya mama yake ndomana kapanga mda mrefu ili apate Uhuru wa kufanya yake.
 
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.

Katika Pombe hata Mimi GENTAMYCINE sibishi na simbishii Wema Sepetu kuwa Kaiacha, ila akisema kuwa na hata Bangi aipendayo hata kuliko Chakula na Mkuyenge ( Wakazi wa Jirani na Kwao hasa kwa Mama yake Mzazi ni Mashahidi Tukuka ) nayo Kaachana nayo / Kaiacha nitambishia na kumkatalia mchana Kweupe kwakuwa najua hatoweza na hana Ubavu wa Kutoitumia.
Kumbe wema sepetu ni shoga ako, Naona.unamjua kuliko anavojijua
 
Shangazi inakuwaje?
Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.

Shangazi yako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyo baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mama'ko kuhusu shangazi yako ni yupi.
 
Nani shangazi yako? Hunijuwi sikujuwi.

Shangazi hyako ni yule aliyezaliwa tumbo moja na baba'ko, sifahamu hata kama huyoi baba'ko unamfahamu, kwa lugha yako unaonesha ni mtoto wa singo mama. Kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko" matokeo, kila mwanamke duniani unamhisi kuwa ni shangazi yako.
Kamuulize vizuri mamako kuhusu shangazi yako ni yupi.
 
Saad30 Umeyatimba mkuu
 
Bora umtukane mtu direct kuliko haya maneno yanayoumiza.. 😄😄
 
Back
Top Bottom