bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,071
- 185
Tanzania ya Kikwete ni zaidi ya uijuavyo....! Tutasikia mengi
Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama
Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
njaa mbaya kweli kabla hajawa waziri alikua anaishi ubungo kwenye nyumba yake, inamaana nyumba yake aliyoijenga mwenyewe naamini haikua na hadhi ya yeye kuishi kisa kapata uwaziri ?
Duuuh,,,hii nchi bora utupwe kisiwani usijue lolote linaloendelea!!!!
Ulimbukeni wa viongozi wa serikali ya 4.