Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

supermario

Member
Dec 2, 2011
48
15
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.

Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
 
Hii yote ni matokeo ya sera za serikali iliyopo madarakani, yaani walijimilikisha nyumba za serikali zilizotokana na jasho/kodi ya kila mtanzania na kuwafanya wakoloni na nyerere wajinga. Serikali si ili ahidi kujenga nyingine?
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama
 
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
 
milion 100?, shule hazina maabara, vitabu, na walimu wanadai malimbikizo. Jamaa ni chai na usingizi tu. Cjui hii serikali inawaza nn.
 
Wakubwa zetu hawana tofauti na fisi tena mwenye roho mbaya. Fisi ni mroho lakini akishiba hana ubaya na mtu. Hawa mafisi wetu ni waroho na wana roho mbaya. Huoni bosi wao anavyokesha kiguu na njia wakati waliomchagua wanakufa kwa kukosa asprin. Wetu si viongozi bali matapeli wa kawaida wanaopaswa kutupiwa mawe kila wapitapo.
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
Unachukua hatua gani?
 
Waliotuletea kadhia hii wanafaa kunyongwa hadi kufa!! Sidhani kama kuna adhabu ya kufaa zaidi ya hii.

Kweli, nawaombea vifo vibaya sana!
 
This can't be true! Ameliingizia nini taifa hadi mtu mmoja atumie Mil 100? What a hell!!!!!!!!!!!!!!!! Ngoja tu ipo siku watatoa hesabu hapa hapa Tz na wala si pengine!!!!!!

Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

ivi hakukuwa na uwezekano wa kumpangishia nyumba ya tsh 48M kwa mwaka kwa rate ya 4m/month?
 
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..

nyumba za mawaziri zipo, ila kinachotokea huwezi amini, kuna baadhi ya waheshimiwa baada ya kuvuliwa uwaziri hawajahama kwenye izo nyumba na serikali ipo inashindwa kuwaamuru waondoke!
 
njaa mbaya kweli kabla hajawa waziri alikua anaishi ubungo kwenye nyumba yake, inamaana nyumba yake aliyoijenga mwenyewe naamini haikua na hadhi ya yeye kuishi kisa kapata uwaziri ?
 
Jamani si bora angepangishiwa hata apartments pale Masaki au Upanga au nyumba mikocheni ambayo hata kwa mwaka haifiki 100mil kweli nchi yetu rahisi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom