Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.

Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

Mkuu awali ya yote lawama nazipeleka kwa walio uza nyumba za selekali.
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.

Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

Only in Tanzania
 
HAYA NI MADHARA YA UUZWAJI WA NYUMBA ZA VIONGOZI LEO HII VIONGOZI WETU WANAKOSA NYUMBA ZA UMMA ZA KUISHI
ii
 
Huyu hafai kuwa Kiongozi/ Mbunge wa Buchosa sisi huku Buchosa tutamchagua Mr. Kaswahili
 
Wakulaumiwa ni magufuli kwa kuuza nyumba za serikali kwa bei ya bure na kuletea serikali gharama kama hizi.
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.

Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

Eti ni dokta pumbavu mkubwa huyu anaishi bila fikra mithir ya msukule mbuzi huyu.
 
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.

Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!

Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.

Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
Haya siyo ufisadi kwa CCM wamezoea maisha haya ya kujitanua tu
 
Nilishasemaga watz ni watu wajinga sana.hawawezi kufanya maamuzi magumu kamwe.

Usiseme hivyo ni suala la muda tu mwaka huu maamuzi sahihi kwa mara ya kwanza yatafanywa na watanzania na dunia nzima itashangaa. Hakuna tena mjinga ilikuwa zamani sasa kila mtu anajua ccm siyo tena chama cha siasa bali genge la walanguzi hivyo kuendelea kuwa madarakani ni kuliangamiza taifa
 
Sasa ni mawaziri wangapi wamekaa mahotelini na kupoteza pesa nyingi kiasi hicho? Majaji jee? Makatibu wakuu, wakurugenzi nk nk? Halafu aliyesababisha yote hayo bado yuko kwenye wizara hiyohiyo na leo anagombea Urais na mnamwita Jembe.
Huu kwa kweli ni Uhayawani uliopitiliza kabisa. Pesa zinapotea kiasi hicho halafu mwananchi wakawaida mnamnyanganya mbuzi na kuku wake anaosomeshea watoto eti achangie maabara za shule huku mkimdhalilisha mbele ya familia yake.
Please wanasiasa mlio na nafasi ya kusimama majukwaani yawekeni wazi haya ili wa TZ waelewe na kufanya maamuzi Octoba.
 
nyumba za mawaziri zipo, ila kinachotokea huwezi amini, kuna baadhi ya waheshimiwa baada ya kuvuliwa uwaziri hawajahama kwenye izo nyumba na serikali ipo inashindwa kuwaamuru waondoke!

Sasa kama mnae tinga tinga mnaeamini hashindwi kitu alishindwaje kuwaondoa huku akijua wapo mawaziri wapo kwenye mahoteli mbali mbali?Mwache ayaone madhara ya yeye na raisi wake walioamua kuuza nyumba za serikali na kumwona Nyerere hakuwa na akili. Nami nasema nao wananchi wa nchi hii acha waendelee kuteseka chini ya chama hiki kwani wao ndio wanaowalea.
 
Kama umejiandikisha,kadi itunze kabatini na onyesha hasira zako "October 25"
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom