Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi?..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
njaa mbaya kweli kabla hajawa waziri alikua anaishi ubungo kwenye nyumba yake, inamaana nyumba yake aliyoijenga mwenyewe naamini haikua na hadhi ya yeye kuishi kisa kapata uwaziri ?
Wakubwa zetu hawana tofauti na fisi tena mwenye roho mbaya. Fisi ni mroho lakini akishiba hana ubaya na mtu. Hawa mafisi wetu ni waroho na wana roho mbaya. Huoni bosi wao anavyokesha kiguu na njia wakati waliomchagua wanakufa kwa kukosa asprin. Wetu si viongozi bali matapeli wa kawaida wanaopaswa kutupiwa mawe kila wapitapo.
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi?..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
Hakuna utetezi wa kuwabeba wauaji hawa!... Hii fedha ingesaidia watanzania wengi wanaokosa huduma za afya na elimu!... Nyumba zenye hadhi klwa bei nzuri zipo DAR!... laki 3 mpaka 4 mikocheni, masaki, makongo juu, upanga mpaka changanyikeni!!!Mimi nafikiri mnamuonea bure Tizebwa, hajapewa nyumba, alikuwa hakai Dar. Sasa afanyeje? Tulalamikie Serkali ambayo iliuza nyumba kana kwamba Serkali nayo inastaafu lakini si kwa mtu anayestahili kupewa nyumba na hajapewa.

kuna wakubwa wake waliotoa kibali cha yeye kuishi pale ndio wanapaswa kuulizwa
kuna wakubwa wake waliotoa kibali cha yeye kuishi pale ndio wanapaswa kuulizwa
Hii haikubaliki, inakuwaje waziri aishi hotelini na kutumia kiasi kikubwa cha pesa za walipa kodi? kwani utaratibu wa kupatiwa nyumba ya kupanga ulipaswa kufanywa na nani jamani ?
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!
Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.
Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
kama ameondoka mwenyewe bila kufukuzwa basi ni mzalendo!serikali ndio walimuweka akae hapo because nyumba za viongozi wa serikali waliuziana!!waziri mzima hawezi kwenda kulala sinza!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kama mnadhan kavunja sheria nendeni mkamshtaki,ukweli ni kwamba ni stahili ake kuishi pale tatizo naloliona hapo ni kwann serikali iliuza nyumba zake na kwann haijawa na mkakati wa kujenga za kutosha.