Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama

Kabla ya kuteuliwa alikuwa anakaa wapi? ALIYEMTANGULIA ALIKUWA ANAISHI HOTELINI?
 
Wangempangia nyumba nzima Tandale kwa Mtogole tu 100m nyingi sana
 
Si kuna nyumba zao zimejengwa na inasemekana nyingine zipo tupu, nyingine bado zinakaliwa na familia za former RC wa DSM, na inasemekana mawaziri wamezikataa or something..??

Hivi hii serikali ina kiongozi au ni kama mwili tu lkn hakuna kichwa ?

Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama
 
Hivi hawa jamaa kabla ya teuzi zao huwa wanakaa wapi .Na kwa nini baada ya teuzi wasikae huko huko ambako wamekuwa wakikaa maana wote wana majumba hapa mjini .Huku Ulaya is it the same ?
 
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..

Nyumba za kupangisha zenye hadhi kubwa kuliko nyumba anazoishi huko alikojenga zipo nyingi sana hapa mjini tena zenye gharama nafuu.... Tatizo viongozi wetu wanasahau kuwa hii nchi ni maskini na hivyo wanahitaji kuishi kulingana na mazingira!!
 
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..

mwee kwan kabla ya kua waziri alikua anaishi wapi?? Hiv wakesha kua mawaziri hawaruhusiwi kuishi majumbani mwao... Mwenye infro plzzzz
 
Inaniuma sana. Source mizambwa
Niliposikia taarifa hizi nikajikuta nimeguna kwa sauti kuu...
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu tatizo linakuja ni pale watu wana puuza habari kama hizi. Huyu jamaa hana hata muda wa kuelewesha umma kwa nini maamuzi kama hayo yalifanyika.

Na vile vile bado kuna watu wengi sana wana mpa support hapa nchini. Its a shame kwa kweli. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Madai yake ya kukaa hotelini ni kuwa awahi kazini kutokana na kwake ni mbali na ofisi. For 8 months mtu anakaa hoteli ya gharama hivyo kisa ni waziri?

100 milioni inaweza fanya mambo mengi sana hata kwa watu wa jimbo lake lakini kwa vile hawajali kaona bora apoteze. Watanzania tutakufa maskini kutokana na watu kama hawa!
 
Ameondoka kwenye hotel na sasa amehamia wapi? Au ameenda hotel nyingine?
 
Hivi B. Membe naye anaishi Hotelini?, maana nakumbuka Waziri wa Mambo ya nje hapo kabla ya A. Migiro aliinunua nyumba aliyokuwa akiishi pale mtaa wa Migombani.
 
Waziri hana kosa kubwa, kosa lipo kwa wale walouza nyumba za mawaziri wakati mawazir bado wapo!
 
Tatizo waziri mwenyewe alidhani anaikomesha serikali, kumbe anajikomesha mwenyewe, shame on him na serikali yake....ilihitaji ubunifi kidogo, angetafuta nyumba ya kupanga na kupeleka invoice wizarani, isingefika 10 mil per year, shame on him.....amekosa uzalendo!
 
Ulimbukeni wa viongozi wa serikali ya 4.

Ni jambo la kushangaza mwanamme mzima kuhama kutoka nyumbani na kwenda kukaa hotelini kisa umekuwa waziri.Ni kukosa uzalendo,kuwa mlafi na wala huwezi kuwa mfano kwenye taifa.100m si mchezo jamani!!!si halali hata mara moja kwa mimi kuendelea kulipa kodi.Lakini turudi nyuma mzee fastjet ndo hivo,maziri ndo hivi nani atamkemea mwenzake.Sasa tuambiaeni amehama amekwenda wapi usikute naye anakula dili na wenye hotel!hawaaminiki hawa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom