Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Kuwith draw unatumia kadi uliyotumia kudeposit.
Kuwith draw unatumia kadi uliyotumia kudeposit.
Poa poa MkuuChelsea
Man city
Man u
All win
Ligi ya England sio ligi ya kuiamini mda wowote wanakulaza njaaChelsea
Man city
Man u
All win
Hao nawapa 2+Ligi ya England sio ligi ya kuiamini mda wowote wanakulaza njaa
Sijui nani mchawi na hapa
chelsea ndo bingwa usiwe na wasiwasi naye hata kidogoChelsea anaweza kukulaza njaa mkuu
Basi sawa mkuu hakuna namna muhindi apigwe tu leochelsea ndo bingwa usiwe na wasiwasi naye hata kidogo
Hata bingwa huwa anapoteza mechi, siku hizi amekua anapata matokeo kwa tabu sanachelsea ndo bingwa usiwe na wasiwasi naye hata kidogo
Liverpool..... X10
Chelsea.......X10
Stocke .......X10
Newcastle...... X10
Genk.......X10
Gent.......2+
Monaco...... 2+
PSG.......2+
West Ham......2+
Feyenoord....... Win
Tottenham....... Win
Braga.,....... Win
Besiktas...... Win
Odds 15....
Kwa heshima na taadhima nawasalimuni nyote.
Baada ya salamu naombeni nipate odd 2, tu jamani niweke ili nijaribu kudouble ka posho kangu.
Msione naongea kwa kutia huruma jamani mhindi kwenye EPL ya j2 alinipiga laki saba ndani ya dk 3.