NINASHANGAZWA NA WANAO ENDELEA KUING'ANG'ANIA MERIDIANI SIJUI KANJUBAH KAWALISHA TENDE NA HALUA ZA WAPI NINYI?
WAKATI KUNA KAMPUNI KAMA
premierbet
supabet
ambazo ki msingi zina option kibao pendine zaidi hata ya meridian.

ukija ktk swala la kutoa pesa na kudeposit hapa
mkeka bet nadhani anaongoza sasa kila wkend naona wadau mnalialia tu ya nini kukumbatia kampuni isiyo sikia kilio cha wateja?

ni sawa na wale walio kumbatia kampuni moja ya mawasiliano ya simu ambayo kila uchwao ni kupandisha gharama za fifurushi tu wakati

there is a new sherrif in town......

chao.
Tatizo SUPABET namna ya ku-deposit na ku-withdraw mpunga ndo majanga!
 
upload_2016-8-28_18-31-58.png
mb

mbona makampuni ya nje,ndio yana wateja wengi na mechi nyingi lakini sijawi ona server error
 
kweli mpira ni hatari PSV ni wa ku droo na kibonde



Hatareee sn Chief ... kanikata stimu kbs huyo fala PSV ... bahati nzr nkaingia 'Inplay' mkekabet na 10K nkatoka na 110K ... saiv wananizibulia vizibo tu ... maana hakuna namna ... wacha nitandike beers ! huu mchezo smtimes unaweza ukakuacha unaongea peke yako ... shuwaaaain
 
Hahahaaa...***** Man City kakosa clean sheet, bora hata wangetoka 0-0 tu niliwapa NG afu yameruhusu goli manina.
 
Cagliari Calcio - AS Roma
AS Roma
1.66

US Sassuolo - Pescara Calcio
US Sassuolo Calcio
1.64

KRC Genk - SV Zulte Waregem
KRC Genk
1.91

Lokomotiv Plovdiv - Ludogorets Razgrad
Ludogorets Razgrad
1.57

FC Viktoria Plzen - SK Slavia Prague
FC Viktoria Plzen
1.63

Beitar Jerusalem - Ironi Kiryat Shmona
Beitar Jerusalem
1.85

Ashdod SC - Maccabi Tel Aviv
Maccabi Tel Aviv
1.40

Rio Ave FC - CD Feirense
Rio Ave FC
1.91

Fenerbahce - Kayserispor
Fenerbahce
1.34

NY Red Bulls - New England Revolution
New York Red Bulls
1.48

Udinese Calcio - FC Empoli
Udinese Calcio
2.07

Total Odds 270.91 ......chagua hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom