Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Mi naona japo juu umeandikiwa pesa haitoshi. Huenda umezidisha 00Hivi wajomba mkekabet unafanyaje ili kuplace bet Mana nikibonyeza ile kitufe cha bet sasa naona hakikubali naomba mnisaidie Mana mbet wanenifilisi naona nihamie mkeka kwa muda