Wapi John Dilinga Matlou

Mnakumbuka kipindi alichoanzisha radio one cha love story evening session kila alhamisi akishawasha moto na SOS B Mchana kwenye The heat then usiku tunapata ma love stori ya kusisimua? Stori ninayokumbuka ni ya yule dada aliempa jamaa figo then mshkaji akamtosa baadae!

wakati huo missing you ya case, bila kumsahau Joe thomas alikuwa juu sana hasa ikipigwa good girl wakati huo tupo hukooo! Tunasikiliza Chombeza tym na akina Fred Nyantori (siku hizi cameraman sijui EATV,TBC!)

• Thanks
Reactions: Iza
Fred Nyantori aliwahi kutangaza kidogo Radio one na sauti yake ilikuwa na punch ya nguvu hasa kwenye chombeza time sijui kwanini akaamua kuzama kwenye u cameraman kwenye ma Tv stations! Anyway yote maisha!

Huyu dj namkubali sana na miss sana pia, ila kuna bibi kizee mmoja wa benki kuu hapo teni milambo amemuweka ndani naona alimuwekea limitation kwenye mambo ya muziki, jamaa kwa njaa zake akaachana na muziki akaamua kufugwa na bibi kizee.

Acha Majungu wewe huna unachojua unaropoka tu hapa. Jamaa alimuoa mtoto wa Katibu mkuu Kiongozi mstaafu. Sikumbuki jina la katibu mkuu huyo ila ni kabla ya LUHANJO

Joe thomas alikuwa juu sana hasa ikipigwa good girl wakati huo tupo hukooo!
Duh especially pale anaposema..
"Why all the good girls taken every time?
And why do I keep falling for someone's dime?
Everytime I said 'Helo" they said "Goodbye"
So why are All good girls taken every time,taken everytime?

Usisahau na Love scene..way back then.Thank Mkuu umenikumbusha enzi za kutongozea kwa lyrics.

Kijana alikuwa akijitahidi kwenye mixing, hakuna Kipindi kilibamba kama The Cruise on EA Radio. Nakumbuka alikuwa mtangazaji wa kwanza kutamka jina la Salama J. Jabir kwa mbwembwe na bashasha zote. Ilikuwa ikifika usiku tuu watu wote haswa pale Kinondoni B alipokuwa akiishi huyu dj redio zote kwenye chips shops ni Tunes za th cruise. Hivi sasa anauza magari na mishe za hapa na pale. alikuwa akianzan cuise lazima ajifagilie sana kwamba madj maarufu akina steve b na washkaji wote pale rosegarden wanasikiliza the cruise on ea radio.

Duh especially pale anaposema..

"Why all the good girls taken every time?

And why do I keep falling for someone's dime?

Everytime I said 'Helo" they said "Goodbye"

So why are All good girls taken every time,taken everytime?

Usisahau na Love scene..way back then.Thank Mkuu umenikumbusha enzi za kutongozea kwa lyrics.

Dah umenikumbusha mkuu,siku hizi ucku kuna vipindi vya matusi tu,enzi za chombeza time ilikuwa balaa.watangazaji walikuwa wanajua muziki hasa huyu jamaa John Dilinga ilikuwa balaa.miaka hiyo kuna wadada walikuwa wanapiga simu kwenye Love and dedication kule 101.4 fm wanatema yai aibu wakati huo kutema yai vile unaheshimika ati!

akina kanumba wamtafute Dj JD awape yale mastori ya love watatengeneza bonge la muvi tena tunavyokumbushia hapa kuna watu wana copy idia!

Acha Majungu wewe huna unachojua unaropoka tu hapa. Jamaa alimuoa mtoto wa Katibu mkuu Kiongozi mstaafu. Sikumbuki jina la katibu mkuu huyo ila ni kabla ya LUHANJO

Wewe sasa unanipa wasiwasi, si wewe ndio umeuliza sasa mbona una taarifa hadi za ndoa yake, hii inaoneshwa wewe unajua zaidi au pengine wewe ndio JD mwenyewe umekuja kupima umaarufu wako uliopotea.

Wewe sasa unanipa wasiwasi, si wewe ndio umeuliza sasa mbona una taarifa hadi za ndoa yake, hii inaoneshwa wewe unajua zaidi au pengine wewe ndio JD mwenyewe umekuja kupima umaarufu wako uliopotea.

hapo hujamtendea haki NOT ENOUGH
kama unafuatilia posts zake she is a girl, hawezi kuwa JD
plus sijajuaumaarufu unapimwaje... kusema umepotea nadhani uko nje ya mada
he is still popular na wapo wanaoheshimu hilo....

kazi kwako na ranks zako
jamani wk end njema na big ups to all
stop hating

Duh especially pale anaposema..

"Why all the good girls taken every time?

And why do I keep falling for someone's dime?

Everytime I said 'Helo" they said "Goodbye"

So why are All good girls taken every time,taken everytime?

Usisahau na Love scene..way back then.Thank Mkuu umenikumbusha enzi za kutongozea kwa lyrics.

Mkuu hujadesa mahali hiyo mistari? Wewe mkali! Mimi imeanza kunitoka,au umedesa kwenye daftari lako la enzi zileee Magamba Sec,Malangali sec,Mazengo sec,Mkwawa sec,Ilboru sec,Karatu sec,old moshi sec,ubwe sec,Arusha sec,Tambaza sec,Azania sec,Jangwani sec e.t.c duh umefanya nimkumbuke washkaji wa azania na kufukuzia Menu pale Dar Tech hadi kuna mmoja aliitwa FOOD FIGHTER hadi leo!

kwa kweli
na alivokuwa precise!!
good old memories
thanks

Bahati mbaya sana kwenye posts, sioni uke kwa hiyo siwezi ku judge usichana kwa kutumia posts za mtu.

ina maana wasichana wote usipowaona UKE hujui kama ni wasichana au nini
Just say it... humu si mwenyeji
umekurupuka tu

ina maana wasichana wote usipowaona UKE hujui kama ni wasichana

Sasa nitajuaje kama sijaona uke wao, siku hizi ninyi mashoga pia mnavaa kama wanawake, mnachoma sindano za kukuza matiti na masaburi, mnavaa wigi na sauti zenu ni nyororo tu. Nasisitiza hadi nione uke ndio nakuwa na uhakika vinginevyo eti kwa kwa kuweka avatar ya kike SIDANGANYIKI.

Du washikaji mumeludi mbali sana mi nakumbuka nilimsiki Gk kwenye wimbo wake anamtaja.hongeleni kwa kuwa na kumbukumbu.usiku mwema

Sasa nitajuaje kama sijaona uke wao, siku hizi ninyi mashoga pia mnavaa kama wanawake, mnachoma sindano za kukuza matiti na masaburi, mnavaa wigi na sauti zenu ni nyororo tu. Nasisitiza hadi nione uke ndio nakuwa na uhakika vinginevyo eti kwa kwa kuweka avatar ya kike SIDANGANYIKI.

Dhuh umenikumbusha jamaa,wakati wakipindi Cruise EA redio mitaa ya Katwe,Nakawa,Kawempe,Mengo huku Kla kwa M7 waganda walikuwa wanatega sana kumsikiliza Dillinga alikuwa anatumbamba vilivyo.

Similar Discussions

Back
Top Bottom