Adam Mchomvu hakui?

dawa yenu

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
2,822
3,651
Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva!

Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao za mafanikio katika kiwanda Cha muziki! Zaidi ya asilimia 70 ya wasanii walioibuka kabla ya mapinduzi ya internet wanajua athari za Adam Mchomvu!

Ni miongo kadhaa Sasa tokea nianze kumsikia jamaa. Mshkaji ni mkongwe kweli kweli. First time namsikia alikuwa anamtambulisha Young Dee ni kati ya 2008 au 2007 sikumbuki vizuri.

Baada ya miaka kadhaa nikamsikia anamtambulisha Dogo janja, nikamsikia anamtambulisha Asley.... Marioo..... Young Lunya.... Jamaa hakunji Wala nini yupo cool!

Enzi hizo za Nako 2 Nako jamaa alikuwa wa moto Sana. Hapa Dj Fetty Fetilicious pale Ruben Ndege a.k.a ncha kali halafu Kuna Mr Born 2 shine... Jamaa waliteka vipindi vyote vya mchana wakawa wanatamba wao tu!

Zilikuwa siku njema Sana! Walikuwa vijana halafu wajanja wanaset trend halafu wadau tunaishi nazo!

Huku na huku Ncha kali akasepa akaenda kujitafuta kwanza. Mdogo mdogo Fetty akakaa pembeni ajipange upya!

Hatujakaa sawa Bdozen akahama media! XXL zikaja sura mpya kabisa akina Mumybaby na genge lake kutoka East Africa radio! Mchomvu Yuko pale pale!

Siku zikapita Ruben Ndege akarudi ila this time sio mtangazaji ni boss kabisa yaani sijui kitengo Cha ubunifu sijui maudhui sielewi ila boss! Bdozen akarudi ila kapoa flani sio chekibob kama zamani kwanza brand yake ya born2shine ishakuwa kubwa Sana kimsingi yeye ni boss! Mara Fetty na yeye karudi ila this time kaenda vipindi vya akili nyingi anahoji waheshimiwa yaani yupo kwenye vipindi vinavyohusu taifa! Vipindi vinavyotoa dira ya taifa! Mchomvu Yuko pale pale! Bado chekbob vile vile, muhuni muhuni vile vile! Watu wake akina Young Lunya!

Anapiga watu ngwala kuanzia stejini Hadi studio! Anakaa kihuni huni anavaa milegezo kama yupo kwenye balehe! Ni mtangazaji tu tangu mwaka 2008 Hadi Leo! Hana nafasi nyingine mjengo zaidi ya ukongwe!

Ina maana huyu jamaa amestuck hapo au! HAKUI, atatangaza bongofleva XXL Hadi uzeeni! Haoni haja ya kukua kitaaluma, kinafasi na hata kimtazamo?

Au Mimi ndio sielewi?
 
Yeye ameshakamilisha ndoto zake!
Vipi wewe kuhusu ndoto zako?

Kama aliweza kupambana kufika hapo na sasa unaona amestuck basi jua Alipotaka kufika ameshafika.
Mimi sio star ndoto zangu haziwezi kujadiliwa hapa! Anyway Leo hii Fetty kapewa uboss pale Mjengoni!
 
Ana page instagram, nenda kamuulize...

Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva! Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao za mafanikio katika kiwanda Cha muziki! Zaidi ya asilimia 70 ya wasanii walioibuka kabla ya mapinduzi ya internet wanajua athari za Adam Mchomvu!

Ni miongo kadhaa Sasa tokea nianze kumsikia jamaa. Mshkaji ni mkongwe kweli kweli. First time namsikia alikuwa anamtambulisha Young Dee ni kati ya 2008 au 2007 sikumbuki vizuri. Baada ya miaka kadhaa nikamsikia anamtambulisha Dogo janja, nikamsikia anamtambulisha Asley.... Marioo..... Young Lunya.... Jamaa hakunji Wala Nini yupo cool!

Enzi hizo za Nako 2 Nako jamaa alikuwa wa moto Sana. Hapa Dj Fetty Fetilicious pale Ruben Ndege a.k.a ncha kali halafu Kuna Mr Born 2 shine... Jamaa waliteka vipindi vyote vya mchana wakawa wanatamba wao tu! Zilikuwa siku njema Sana! Walikuwa vijana halafu wajanja wanaset trend halafu wadau tunaishi nazo!

Huku na huku Ncha kali akasepa akaenda kujitafuta kwanza. Mdogo mdogo Fetty akakaa pembeni ajipange upya! Hatujakaa sawa Bdozen akahama media! XXL zikaja sura mpya kabisa akina Mumybaby na genge lake kutoka East Africa radio! Mchomvu Yuko pale pale!

Siku zikapita Ruben Ndege akarudi ila this time sio mtangazaji ni boss kabisa yaani sijui kitengo Cha ubunifu sijui maudhui sielewi ila boss! Bdozen akarudi ila kapoa flani sio chekibob kama zamani kwanza brand yake ya born2shine ishakuwa kubwa Sana kimsingi yeye ni boss! Mara Fetty na yeye karudi ila this time kaenda vipindi vya akili nyingi anahoji waheshimiwa yaani yupo kwenye vipindi vinavyohusu taifa! Vipindi vinavyotoa dira ya taifa! Mchomvu Yuko pale pale! Bado chekbob vile vile, muhuni muhuni vile vile! Watu wake akina Young Lunya! Anapiga watu ngwala kuanzia stejini Hadi studio! Anakaa kihuni huni anavaa milegezo kama yupo kwenye balehe! Ni mtangazaji tu tangu mwaka 2008 Hadi Leo! Hana nafasi nyingine mjengo zaidi ya ukongwe!

Ina maana huyu jamaa amestuck hapo au! HAKUI, atatangaza bongofleva XXL Hadi uzeeni! Haoni haja ya kukua kitaaluma, kinafasi na hata kimtazamo?

Au Mimi ndio sielewi?
 
Ni hip hop artists,ni dizaina wa mavazi sasa unataka akabe kila mahali.
NB:
.,............
 
Nachojua kuhusu Mchomvu ana akili na IQ kubwa sana ila tatizo ni ule Uchuga uko damuni. Maadili na nidhamu inakua shida kidogo na pengine atakua mjuaji asiyetaka ushauri,mhafidhina aliyekosa flexibility ya kimajira. Nachoamini,yeye pia anaona hiki tunachokiona na tayari atakua na mpango mzuri wa next step. Rai yangu kwake alipe pesa nyingi sana kuwekeza katika nidhamu na maadili halafu aje na kitu kipya sokoni...kitaitika!
 
Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva!

Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao za mafanikio katika kiwanda Cha muziki! Zaidi ya asilimia 70 ya wasanii walioibuka kabla ya mapinduzi ya internet wanajua athari za Adam Mchomvu!

Ni miongo kadhaa Sasa tokea nianze kumsikia jamaa. Mshkaji ni mkongwe kweli kweli. First time namsikia alikuwa anamtambulisha Young Dee ni kati ya 2008 au 2007 sikumbuki vizuri.

Baada ya miaka kadhaa nikamsikia anamtambulisha Dogo janja, nikamsikia anamtambulisha Asley.... Marioo..... Young Lunya.... Jamaa hakunji Wala nini yupo cool!

Enzi hizo za Nako 2 Nako jamaa alikuwa wa moto Sana. Hapa Dj Fetty Fetilicious pale Ruben Ndege a.k.a ncha kali halafu Kuna Mr Born 2 shine... Jamaa waliteka vipindi vyote vya mchana wakawa wanatamba wao tu!

Zilikuwa siku njema Sana! Walikuwa vijana halafu wajanja wanaset trend halafu wadau tunaishi nazo!

Huku na huku Ncha kali akasepa akaenda kujitafuta kwanza. Mdogo mdogo Fetty akakaa pembeni ajipange upya!

Hatujakaa sawa Bdozen akahama media! XXL zikaja sura mpya kabisa akina Mumybaby na genge lake kutoka East Africa radio! Mchomvu Yuko pale pale!

Siku zikapita Ruben Ndege akarudi ila this time sio mtangazaji ni boss kabisa yaani sijui kitengo Cha ubunifu sijui maudhui sielewi ila boss! Bdozen akarudi ila kapoa flani sio chekibob kama zamani kwanza brand yake ya born2shine ishakuwa kubwa Sana kimsingi yeye ni boss! Mara Fetty na yeye karudi ila this time kaenda vipindi vya akili nyingi anahoji waheshimiwa yaani yupo kwenye vipindi vinavyohusu taifa! Vipindi vinavyotoa dira ya taifa! Mchomvu Yuko pale pale! Bado chekbob vile vile, muhuni muhuni vile vile! Watu wake akina Young Lunya!

Anapiga watu ngwala kuanzia stejini Hadi studio! Anakaa kihuni huni anavaa milegezo kama yupo kwenye balehe! Ni mtangazaji tu tangu mwaka 2008 Hadi Leo! Hana nafasi nyingine mjengo zaidi ya ukongwe!

Ina maana huyu jamaa amestuck hapo au! HAKUI, atatangaza bongofleva XXL Hadi uzeeni! Haoni haja ya kukua kitaaluma, kinafasi na hata kimtazamo?

Au Mimi ndio sielewi?
Mr Mitama nampongeza kwa kikubwa alichokifanya ila kiukweli sahivi jamaa amebaki kwny cha arusha too halafu kwanza kwa akili yake in and out sidhani kama hata anaweza kulea familia nilimuona juzi pale CMG miguu imenyooka hadi imekua milonjo mm naona jamaa atulize akili awekeze kwny akili then ajitoe kwny media taratibu atafute kazi nyngne look like akafanye tizo hawa watoto wa ki-arudha wakishafika mahali wao wanaona wamemaliza kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom