umelonga mkuu wengi walikuwa watoto, ndio maana hawamjui JD vizuri, ndio maana wakina muli hawawezi kumix nyimbo mpaka leo
pool side kilimanjaro hotel na marehemu salome makani, marehemu caro nyimbo, marehemu abdul msomali (mzee wa karl kani jeans!) wanamuziki wa enzi hizoooooo diplomatzzzzzzzz na turuke ruke kwa furaha! nimewakumbuka severa marandu na salama meghji forodhani, lulu kiluvia na k-lynn ndio alikuwa anachipukia! mmmmhhhhhh umenikumbusha mbali mnoooooooooo!Bills ya enzi za Dj JD ilituchanganya wengi.vipi pool side na Dj Bonny Luv? afadhali hawa jamaa wamerudi kutupa burudani tena.
Kauli yako inaonekana kabisa wewe ni wa kizazi cha Azam, wanaoujua muziki na kujua vema John Dillinga Matlou hawaweza babaisha kama ulivyofanya wewe!Co kumfundisha tuu Walimnyoosha!
Kweli mkuu,nimependa nyimbo nyingi pia sababu yake,siku moja akiwa radio uhuru alipiga family potrait ya pink alafu haraka sana akapandishia na where is love ya black eyed peace! Maudhui ya hizo nyimbo na alivyozimix mpaka leo nazizimia mbaya! Kuna nyimbo alizipiga yeye tu sijawahi kuzikia mtangazaji wala Dj yeyote kuzipiga mfano that is the way my love will be ya JLo na act like you know kumbuki jina lao.lakini pia nyimbo maarufu tunayomkumbukia Dj JD ni ya justine Timberlake inaitwa Oh No!Dah hii nyimbo the way jamaa alivyokuwa anaipiga kipindi hicho the cruiz ya EA radio ilikuwa noumaa! Jamaa akiingia studio mpaka sound ya radio inabadilika! Akichelewa hata dk tano unajua jamaa hajaingia bado! Binafsi Dj JD alinifanya niwe na passion ya ajabu ya muziki hasa R&B and hiphop.
Anapiga siku hizi maeneo ilipokuwa Nyumbani Lounge kwa Lady JD,Nyuma ya Best Bite.Anapiga wapi huyu Dj. Nataka nikaruke majoka leo
Asante sana King Kong IIIAnapiga siku hizi maeneo ilipokuwa Nyumbani Lounge kwa Lady JD,Nyuma ya Best Bite.