Wapi John Dilinga Matlou

kama nataka kulia vile'nakumbuka cruise night ya east africa tv'dah kitambo snaaaaaa john dilinga matrou alikuwa analitaja jina lake kamili'my best dj ever.
 
Nilikuwa mazengo complex those dayz jamaa anafanya maajabu radio one nakumbuka interview alofanyia inspector haruni(mtoto wa getikali)ile kipande cha "oho hoo hebu nicheki kuanzia juu mpaka down mi mtto wa dontown".wakati wa msibawa baba wa taifa oneday jamaa akascratch ile nyimbo ya capt Komba mzee kwa mzuka watu weweeeee....akijitambulisha husema."naitwa John....John Dillinga Matlou karibu ktk joto la ijumaa the heat ya radione stereo....Ddddd-d-d-d-d J Jd the ever lasting Dj"aagh acheni jamani yule jamaa mkali
 
Eti wale mafisadi waliandaa mpambano feki mwaka ule ili wapaishe jina la mully b kumshinda John Dillinga.....hovyo. Huyo mully b mwenyewe kutoka moyoni anajua kuwa hamuwezi Jd. Kweli cloud mabingwa wa kununua haki kama chama tawala.
 
hiyo siku ya final nilikuwa bills huyu mnyama DJ JD alikula vidudu mtoni aibu alipendeza mbaya japo alikuwa simple!alikula t shirt mikono mifupi,towel begani na gloves!huyo mully B kichefuchefu kama kawaida yake nguo hazimkai kama zimemvaa!mnyamwezi JD miaka mia katika fani!mkali kitambo....
 
Kwa sababu hakuna kitufe cha Thanks ngoja nikugongee tu ya kwangu..... THANKS sana nakumbuka hizi mbinu mbovu za hao magamba radio!!
 
hiyo siku ya final nilikuwa bills huyu mnyama DJ JD alikula vidudu mtoni aibu alipendeza mbaya japo alikuwa simple!alikula t shirt mikono mifupi,towel begani na gloves!huyo mully B kichefuchefu kama kawaida yake nguo hazimkai kama zimemvaa!mnyamwezi JD miaka mia katika fani!mkali kitambo....
Nilikuwepo pia,jamaa walipania kumharibia mpaka Masoud Kipanya pia inaonyesha hakufurahia,waliharibu wiper(kama sikosei) ya machine aliyokuwa anatumia JD na bila hiyo huwezi kumix,lakini JD akaamua kukamua kwa kutumia machine zao! jamaa alionyesha ubingwa wa kutumia LP kitu ambacho labda dj Rico pekee ndio angeweza kujaribu ktk madj waliokuwepo pale,dogo alivyokuwa anatumia hata hiyo cd machine alikuwa anachemka ilitakiwa majaji watoe credibility kwa dj jd kwa kutumia vizuri turn table lakini cha kushangaza wakasema ametoka droo na mul b na kuamua kutumia njia ya ajabu kutafuta mshindi huku mashine ya jd ikiwa na wiper mbovu! Uzuri jd alishatangaza hata akishinda hatoenda ulaya aende mshindi wa pili kama zawadi! Ndio maana clouds walitumia nguvu kubwa kujustify ushindi wa mul b ambae mwenyewe anajua feki na Dj JD ni role model wa mul b na amejifunza udj kwa kufata test za Dj JD! Uwazi wa Dj JD kupinga namna watu wa Mawingu wanavyoharibu muziki umefanya kutokuwa na maelewano na akina Ruge though wanapiga stori sometimes kama washkaji.Clouds ni watu wa fitna sana ila Dj JD bahati yake ni anaijua kazi yake hata akifanya kipindi radio Tanzania kitakuwa heat tu(refer alipoenda radio uhuru iliyokuwa mfu kabisa na akang'aa!).huyu jamaa yupo mioyoni mwa wapenda muziki na hakurupuki kufanya shows zake,anajiandaa vizuri kulinda heshima na status yake.
 
Clouds ni watu wa fitna sana ila Dj JD bahati yake ni anaijua kazi yake hata akifanya kipindi radio Tanzania kitakuwa heat tu(refer alipoenda radio uhuru iliyokuwa mfu kabisa na akang'aa!)

Kweli kabi$a mkuu jamaa mkali mpaka imepitiliza ghafla mi nilianza kusikiza radio uhuru time ya John 14-16. Hata akipiga maji marefu radio ile pale mjengoni utasikiliza tu. Value yake inaongezeka kwa ile sauti yai na slang kama mimi dah.!
 
Nilikuwepo pia,jamaa walipania kumharibia mpaka Masoud Kipanya pia inaonyesha hakufurahia,waliharibu wiper(kama sikosei) ya machine aliyokuwa anatumia JD na bila hiyo huwezi kumix,lakini JD akaamua kukamua kwa kutumia machine zao! jamaa alionyesha ubingwa wa kutumia LP kitu ambacho labda dj Rico pekee ndio angeweza kujaribu ktk madj waliokuwepo pale,dogo alivyokuwa anatumia hata hiyo cd machine alikuwa anachemka ilitakiwa majaji watoe credibility kwa dj jd kwa kutumia vizuri turn table lakini cha kushangaza wakasema ametoka droo na mul b na kuamua kutumia njia ya ajabu kutafuta mshindi huku mashine ya jd ikiwa na wiper mbovu! Uzuri jd alishatangaza hata akishinda hatoenda ulaya aende mshindi wa pili kama zawadi! Ndio maana clouds walitumia nguvu kubwa kujustify ushindi wa mul b ambae mwenyewe anajua feki na Dj JD ni role model wa mul b na amejifunza udj kwa kufata test za Dj JD! Uwazi wa Dj JD kupinga namna watu wa Mawingu wanavyoharibu muziki umefanya kutokuwa na maelewano na akina Ruge though wanapiga stori sometimes kama washkaji.Clouds ni watu wa fitna sana ila Dj JD bahati yake ni anaijua kazi yake hata akifanya kipindi radio Tanzania kitakuwa heat tu(refer alipoenda radio uhuru iliyokuwa mfu kabisa na akang'aa!).huyu jamaa yupo mioyoni mwa wapenda muziki na hakurupuki kufanya shows zake,anajiandaa vizuri kulinda heshima na status yake.

Naukumbuka huu mpambano na nilikuwa ndani ya nyumba Bills.....!! Ila JD alirudia ku-stractch kwenye fainali za Miss Tanzania nadhani au ulizinduzi wa albam ya mmoja wa wasanii wa Bongo fleva pale Diamond Jubilee mwaka huo huo....Yaanii alikuwa na hasira ya kuwaonyesha kwamba he is the best DJ!
 
Dah kitambo ndugu coz wanikumbusha kitambo dj jd alikuwa noma na mtaa wa mangoma,siwezi msahau yule na miziki mingi nimeipenda kwa sababu yake, he is the best
 
Dah kitambo ndugu coz wanikumbusha kitambo dj jd alikuwa noma na mtaa wa mangoma,siwezi msahau yule na miziki mingi nimeipenda kwa sababu yake, he is the best
Kweli mkuu,nimependa nyimbo nyingi pia sababu yake,siku moja akiwa radio uhuru alipiga family potrait ya pink alafu haraka sana akapandishia na where is love ya black eyed peace! Maudhui ya hizo nyimbo na alivyozimix mpaka leo nazizimia mbaya! Kuna nyimbo alizipiga yeye tu sijawahi kuzikia mtangazaji wala Dj yeyote kuzipiga mfano that is the way my love will be ya JLo na act like you know kumbuki jina lao.lakini pia nyimbo maarufu tunayomkumbukia Dj JD ni ya justine Timberlake inaitwa Oh No!Dah hii nyimbo the way jamaa alivyokuwa anaipiga kipindi hicho the cruiz ya EA radio ilikuwa noumaa! Jamaa akiingia studio mpaka sound ya radio inabadilika! Akichelewa hata dk tano unajua jamaa hajaingia bado! Binafsi Dj JD alinifanya niwe na passion ya ajabu ya muziki hasa R&B and hiphop.
 
John Dilinga anatisha sana..ukienda Synergy pale unaweza kuomba dunia irudi nyuma
 
Nyakati zinakwenda, hazirudi nyuma, Dj JD rudi kwenye game naona amekosekana wa kuziba pengo lako kaka
 
UMRI UNAENDA SASA!!
DJ JD yuko hapo Mbezi beach (samaki)na ni baba wa watoto watatu (sina uhakika kama kashaongeza). Mtoto wa kwanza wa kike anaitwa Jackline yupo chuo sasa hivi, dogo wa pilli ni wa kiume nimemsahau jina nae anavizia nyayo za mshua, alifundishwa toka kitambo sana akiwa mdogo na yupo vizuri tu. Katatu nadhani kako primary skuli kwa sasa.
Nakumbuka sana enzi za JD na jamaaa mmoja walikua nae Radio one aliitwa Sosthenes Ambakisye walikua noma sana hawa jamaa. Mara ya mwisho kuonana na jamaa alikua nayard yake sijui kwa sasa anajishughulisha na nini!!
 
Siku nyingi sijamsikia madjs waanzilishi wa east africa radio..mara ya mwisho nilimuona kwenye machine Blue Pam...kwa wale wakubwa wenzangu.
 
jamaa alikuwa mooto ile mbaya,
alihojiwa juzi juzi kwenye kipindi cha mkasi eatv
yupo na shughuli zake binafsi.
 
jirani yangu huyu mitaa ya Boko ndege beach...jamaa amejipanga kimaisha.....pia bado anapiga u-dj somewhere hapa hapa mjini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom