Wapi John Dilinga Matlou

mmenikumbusha mbaliiiiiiiiiiiii! mbarikiwe woteeeeeee! dj jd: hellow who's calling?? aah this is candy!! oohh candy, where r u calling from? am calling from sinza!! do u enjot the show?? u bet''', lolest!! nilikuwa ndio ka-bintiiiiii lakini nakumbuka mnooooo kaka zangu wakipigwa na dad every day kwa ku-sneack out to billicanas! lol
 
Bills ya enzi za Dj JD ilituchanganya wengi.vipi pool side na Dj Bonny Luv? afadhali hawa jamaa wamerudi kutupa burudani tena.
 
mmenikumbusha mbaliiiiiiiiiiiii! mbarikiwe woteeeeeee! dj jd: hellow who's calling?? aah this is candy!! oohh candy, where r u calling from? am calling from sinza!! do u enjot the show?? u bet''', lolest!! nilikuwa ndio ka-bintiiiiii lakini nakumbuka mnooooo kaka zangu wakipigwa na dad every day kwa ku-sneack out to billicanas! lol

umesahau kuweka ile jingle yake:-
Oooohoouuuuuuuuuu Jdiiiiiii thats ma songggggg!
(kasauti fulani kazuriiiiii ile mbaya)
 
"Man at work baby! doing what I gonna do! Yeah! " Hapo zinapigwa ngoma balaa!

Mtazamo huyu jamaa kwa weli ni talented, last two weeks alialikwa pale Jahazi clouds Fm aisee ali-screach ngoma moja ya soul for real hadi wale watangazaji kina kibonde wakaonekana kabisa wame-loose confidence!
Kwa jinsi ilivyo inaonekana alilipia air time ili a-promote synergy Lounge!
 
Jamaa siku hizi anapatikana synergy Lounge, ukienda pale utakula ngoma kibao za enzi zile na scratching za kufa mtu. Jamaa bado hana mpinzani jijini mpk leo kama unabisha uende synergy Lounge kila jumamosi utakubali mwenyewe
 
......"deeeejayyyyyy Jaayyy Deeee"........ alikua anachakachua RnB collections za nje na kuingiza hiyo kolombwezo..
 
Jamani hivi nani anajua alipo huyu DJ maarufu John Dilinga? Alikuwa DJ mzuri sana na mtangazaji wa Radio one early 2000

Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.
 
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.

Mully B fuvu nae ni dj..!!?amshikishe adabu Jd alafu amtafute baadae kumuomba msamaha kwa waliomfanyia??ujui lolote kuhusu John Dilinga wewe kaa kimya..uliza kwanza kwa nini Muli fuvu anamuita Jd braza,mpaka kunyoa nywele alikuwa ananyoa bure kwenye saluni ya Jd enzi izo anakuja danta..mtoto wa Mengele hafiki ata robo ya uwezo wa Jd,ushamba wa milimani morogoro uanamsumbua ndio maana alipoingia mjini alijiita bling bling wakati nguo zote mjini zinamvaa anakosa size na fuvu lake.
 
......"deeeejayyyyyy Jaayyy Deeee"........ alikua anachakachua RnB collections za nje na kuingiza hiyo kolombwezo..

collections zipi za nje??tuwekee hapa majina yake sio unaleta majungu ya kontena baa mikocheni..pale nilikaa siku moja aisee kuna washkaji wana nongwa kama mabinti.wenyewe mnawaita celebrities wenu na njaa zao.
 
......"deeeejayyyyyy Jaayyy Deeee"........ alikua anachakachua RnB collections za nje na kuingiza hiyo kolombwezo..

Mambo yangekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa DJ mkali,unafikiri akina abubakari sadik hawataki kusifika kama DJ JD! Kwanini nao hawachakachui zile za Funk Masterflex kwa kuingiza vikolobwezo vyao kwenye hizo collection ili tuwaone wakali?

Kibongo bongo itachukua muda mrefu kupata DJ atakaefanya kazi ktk level ya DJ JD!
 
Mambo yangekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa DJ mkali,unafikiri akina abubakari Sadik hawataki kusifika kama DJ JD! Kwanini nao hawachakachui zile za Funk Masterflex kwa kuingiza vikolobwezo vyao kwenye hizo collection ili tuwaone wakali?

Kibongo bongo itachukua muda mrefu kupata DJ atakaefanya kazi ktk level ya DJ JD!

Exactly, watanzania wako wagumu sana kukubali pale ambapo hakuna ubishi
jamaa yuko vizuri ktk kazi zake.
Nilichogundua wengi wa hawa haters ni watoto wa juzi juzi tu, walikuwa bado na pampers kipindi hiki tunachokiongelea

BIG UP SANA!!
 
Alishikishwa adabu na Mully B wa Clouds FM kwenye mashindano ya ma DJ.
Tangu hapo hajihusishi tena na maswala ya muziki, kabaki kujichubua tu.

clouds ilihonga pesa ili muly apite, huyo mully ni mchumba tu kwe udj usifuate ushabiki mully mweupe kwenye udjs
 
Exactly, watanzania wako wagumu sana kukubali pale ambapo hakuna ubishi
jamaa yuko vizuri ktk kazi zake.
Nilichogundua wengi wa hawa haters ni watoto wa juzi juzi tu, walikuwa bado na pampers kipindi hiki tunachokiongelea

BIG UP SANA!!

umelonga mkuu wengi walikuwa watoto, ndio maana hawamjui JD vizuri, ndio maana wakina muli hawawezi kumix nyimbo mpaka leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom