Wanawake wakatoliki Songea wawapinga"CDM"

Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

yaani kabisa na akili zako unaungana na hao kina mama?
 
Hao kinamama wanapepo wachafu na majini,Usikute wana pepo wa ngono ambaye huambatana na pepo wote kama kiburi,ulafi,husuda nk.Hivyo ni kuwapuuza.NA WASHINDWE NA KULEGEA.kina mama ovyo hao.
 
jamani mimi naishi kusini huko ndiyo maana huwa nawaambia kila siku na nitaendelea kusema kule nguvu ya uma bado sana kuenea na nashangaa bado tunakaza na mikoa ya kaskazini tu hilo ni kosa kubwa sana mie mapendekezo yangu CHADEMA ije kusini kijiji kwa kijiji yaani huku mtwara,lindi na Ruvuma ni CCM na CUF ndivyo vyama wanavyovifahamu mie nadhani kina Reggia wenyewe mnaona hali ilivyo embu nambieni huku kusini kuna wabunge wangapi wa CHADEMA?NA NDIYO SEHEMU ILIYO MASKINI SANA KWA TANZANIA ILA MALIGHAFI NA BANDARI WANAVYO SIJUI INAKUWEJE WANANCHI WAMELALA HV
 
ingekuwa mara, shinyanga, mwanza, kagera, chuga, mosh etc ningeshangaa bt kwa Songea si ajabu kwangu coz 98% ya wakazi wa pale wote ni wafuasi wa chama cha babu, kwa sababu ya kukosa civic eductn, kwa maombi yao natumai watapata ufahamu, afta ol KWA NIN CCM INALETA SIASA KTK DINI? KWA NIN NCHIMBI AWACHOCHEE KINA MAMA WAKATOLIKI? KWA NIN SIO UWT? Kuna kila haja kwa Mkwere kusafisha chama chake!
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Hao kina mama kama uliyo ongea ni kweli, wamesha jitoa wenyewe kwenye ukatoliki wamesha asi imani KATOLIKI!
Ambayo inaamini kwamba kwa sasa neema imesha shuka duniani ambayo inatufundisha kukataa kila aina ya uovu.
Hivyo basi kwa kutojua hilo ni wajinga ima waoga.
Mungu wetu amesha bainisha kwamba. 'WAJINGA NA WAOGA WOTE KWENYE ZIWA LA MOTO.
Hao kina mama wanapiga ramli tu na wasubiri hukumu.
 
Mtoa hoja ni muongo sana, hayo maneno siyo ya wakinamama wa Songea ni maneno ya Nchimbi!
 
wanashinda njaa bure tu hao...ni sawa na mtu kufunga Mungu asiwe Mungu au ufunge shetani asiwe shetani.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Haya sasa angalieni CCM mnavyojichanganya , mara oh Chadema chama cha Kikatoliki,mara Dr. Slaa katumwa na Vatican, nyie mumeishiwa hoja ni na sawa makahaba mnaparamia wanaume hovyo.Hivi inaingia akilini kweli chama cha kikatoliki kikataliwe na wakatoliki? Nyie makuwadi wa mafisadi na hao mabwana zenu hamna hoja nendeni Loliondo kwa babu labada mtapata tiba kwani wengi kale kamjamaa kamewatembelea ndiyo maana mnaropoka hovyo.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Celina Kombani hii sredi yako nzuri mwe!
 
Sasa Chadema wameanza kumeguana wenyewe kwa wenyewe. Kigango kimoja kimeshamtosa Parde Slaa.

Kumbe si kila mtu kipofu. Poleni Chadema.

i hate wanaoeneza UDINI kwani hao wakina mama si wanahaki zao kuwa kama mkwere aliyekwambia ukiwa mkatoliki lazima uwe cdm nani PUMBAVU ZENU!
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

The Following 3 Users Says Thank You to KAUMZA For This Useful Post:

Malaria sugu(Today), Mhogo mchungu(Today), Jeykey(Today)
 
mtoa hoja ni muongo sana, hayo maneno siyo ya wakinamama wa songea ni maneno ya nchimbi!
mkuuu hiyo ndiyo kweli kabisaa hata mimi nilisikiliza! Nchimbi ndo alisema hivyo. Na kuwaagiza wakina mama wafunge na kuomba!
 
hao kinamama wanapepo wachafu na majini,usikute wana pepo wa ngono ambaye huambatana na pepo wote kama kiburi,ulafi,husuda nk.hivyo ni kuwapuuza.na washindwe na kulegea.kina mama ovyo hao.
jamani acheni hasira na hao wakina mama huyu mleta hii mada ndo mlongo!
 
Hivi leo ni siku kuu gani hapa JF? Naona wafungwa wengi leo tumefunguliwa, Malaria Sugu, Mhogo Mchungu na wengineo.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Huko ndiko ambako waumini walimchunia askofu wa Songea alipoiponda CCM. huko ndiko Padre Mapunda wa Manzese alipopigwa marufuku baada ya kuwazodoa watawala. huko ndiko kina mama wakatoliki walimzomea Askofu kanisani wakati wa ibada walipohisi anawaponda watawala. nadhani hayo mapepo anayosema Nchimbi yamewapanda akina mama wakatoliki wa Songea na Nchimbi mwenyewe. wanahitaji kupungwa mapepo. Wasiwe na wasiwasi, watapona tu hivi karibuni
 
Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. 9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe. (Gal 1:8)
 
W
Ipo Peremiho huko, kanisa kubwa sana na kongwe sana katika tanzania la kikatoliki.

Siri ya Chadema sasa zinafichuka. Acheni Ukanda, ukabila na udini

Hivi songea wameadhimisha siku ya wakinamama wakatoliki?
Akili za deci hizi.
Sasa kama wamama wakatoliki wapo upande wa ccm, iweje cdm kiwe na udini?
Crap.
 
Back
Top Bottom