Wanawake wakatoliki Songea wawapinga"CDM"

Mtoa hoja ni muongo sana, hayo maneno siyo ya wakinamama wa Songea ni maneno ya Nchimbi!
Nchimbi ni sama na mmama tu.
Aliongea kwa niaba ya wamama wenzake. Alikuwa mmama mwenzie sophia aka jey key.
 
Hivi leo akina mama wa uwt mmewasahau? Si hao hao ndiyo akina mama wa katoliki. Lakini mimi nimefurahi, kwani hii inaonyesha wazi kabisa kuwa cdm si chama cha udini. Hakina uhusiano na rc.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

KAUMZA,NCHIMBI AND ALL WOMEN IN SONGEA ARE HOPELESS!!!!!!!!!!!!

Hivi mwanaume MZIMA NCHIMBI ANAENDA KUSIKILIZA UMBEYA WA WANAWAKE,IS RUBBISH AND NONSENSE!!!
Tangu lini MWANAMKE AKAANZA KUMFUNDISHA MWANAUME???BIBLIA YENYEWE IMEKATAZA KABISA KUWA MWANAMKE HANA RUHUSA YA KUMFUNDISHA MWANAMME,NEVER! HAIKUWA HIVO TANGU ADAMU NA EVA NA HAIJAWAHI KUWA HIVO NA HAITAKUWA HIVO.

KWA WANAWAKE WA SONGEA NA NCHIMBI WAO(emmanuel) ambaye hajui hata maandiko wajue kuwa wamemtukuna Mungu na wamepingana na Biblia kama inenavyo:READ THIS NCHIMBI AND ALL WOMEN IN SONGEA

11Let the woman learn in silence with all subjection.

12But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.
13For Adam was first formed, then Eve.
14And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression. 15Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety


Bila shaka watu kama KAUMZA na NCHIMBI ndiyo wanaotawaliwa na wake zao majumbani kwao. Kukubaliana na kauli hiyo ya wanawake ni kuonyesha kuwa hawa jamaa ni MADUME JIKE. Probabaly they have both sex,male and female,while the latter is dominant.) Jinga kabisa.

Hatutaki kusikia upuuzi kama huo. If you don't have to say something you better keep quite. MADUME JIKE WAHEAD.
 
Hao wakina mama si wakristo safi. Wanaenda kinyume na maagizo rasmi ya kanisa. Tutawatenga kama wale wa Sumbawanga na kuanzia jumapili hii hawatapata komunio!
 
Yaan kifupi hawataki cement wauziwe 5000. Mtaendelea kuishi kwenye nyumba za fito na zilizoezekwa kwa bati la nyasi. Nyambafu kabisa.
 
Mimi Mphamvu Letsholonyane, naamini kuwa hao waliodai hayo ni kikundi kidogo cha wanawake(na inawezekana wanalipwa) kinachosemea mioyo ya wanawake wote wa Songea. Nakiri kuwa na mashaka na uwezo wao wa kufikiri, badala ya kuangalia vitu vya msingi kwenye huo unaoitwa uchochezi, wanaangalia kaka mkubwa anasema nini kuhusu hayo. Nahisi siku Kikwete akitamka wanaCCM wote ni mataahira, wao wataunga mkono kwa kauli moja, na atakayepinga atakuwa mchochezi na asiyekitakia mema chama!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom