Sijui sifa za kiongozi kwa wadanganyiika lakini pengine hiyo much much better inasimamia mtu alopata F na point 24 badala ya 26..Mkuu najua Ben is not popular, hasa ukiangalia jinsi alivyoendesha privatization(na kujiuzia mgodi) na alivyo-foresee ufisadi, ana madoa mawili matatu ambayo ni makubwa sana kwenye rekodi yake, ambacho wengi tunakubaliana. Kitu ambacho ninamlaumu sana ni kuwa mwaka wa mwisho wa urais wake ni kama aliwazira watu aliokuwa anawaongoza. He looked like he was really looking forward to leaving the office, na kusema ngoja niachana na wajinga hawa. Alikuwa amezongwa sana na pressure ya mtandao kiasi kwamba akabaki na donge moyoni na akatuzira watanzania. He did not use the powers vested in him (kwenye chama na Serikali) kuandaa mwelekeo mzuri baada ya yeye kuondoka ofisini. That is why we are where we are now, and only God knows how we are going to get out of this quagmire.
Lakini ukiangalia performance yake in general utaona kuwa he was much much better than awamu ya pili na awamu ya tatu, in many respects. Hatuwezi kumlinganisha na awamu ya kwanza kwa kuwa it was different era and different politics. He was no saint, and some of us would be happy to see him in court, but that does not change the fact he had a better team and provided better leadership than the current one.