Waliotandikwa viboko Ikulu hawa hapa

Pia kuna waliokufa kwa kuliwa na Simba na wanyama wengine kama Chui kwa ajili ya kuhamishwa kwa nguvu kutoka katika maeneo yao kwenda porini kuanzisha vijiji vya ujamaa.

Wapo waliosekwa rumande muda mrefu bila ya kufunguliwa mashtaka kama James Mapalala
 
Bongolander,

Hapa umeniacha nje! wala simo katika ubishi huu..

Mkuu najua Ben is not popular, hasa ukiangalia jinsi alivyoendesha privatization(na kujiuzia mgodi) na alivyo-foresee ufisadi, ana madoa mawili matatu ambayo ni makubwa sana kwenye rekodi yake, ambacho wengi tunakubaliana. Kitu ambacho ninamlaumu sana ni kuwa mwaka wa mwisho wa urais wake ni kama aliwazira watu aliokuwa anawaongoza. He looked like he was really looking forward to leaving the office, na kusema ngoja niachana na wajinga hawa. Alikuwa amezongwa sana na pressure ya mtandao kiasi kwamba akabaki na donge moyoni na akatuzira watanzania. He did not use the powers vested in him (kwenye chama na Serikali) kuandaa mwelekeo mzuri baada ya yeye kuondoka ofisini. That is why we are where we are now, and only God knows how we are going to get out of this quagmire.

Lakini ukiangalia performance yake in general utaona kuwa he was much much better than awamu ya pili na awamu ya tatu, in many respects. Hatuwezi kumlinganisha na awamu ya kwanza kwa kuwa it was different era and different politics. He was no saint, and some of us would be happy to see him in court, but that does not change the fact he had a better team and provided better leadership than the current one.
 
Mkuu nimerudi.. Wala sii kweli kabisa kwani Nigeria si wana mafuta? Labda tazama fact book kisha nambie kwa nini hao wengine wamekwama..As a fact Mrusi anaongoza duniani kutoa mafuta kuliko Saudia lakini Mchina anampika kaa kasimama..

Mkuu Masri unaisikia tu ktk magazeti.. hatuwapi hata kwa nini yaani kifupi kimaendeleo mimi nadhani baada ya South wao wanafuata.. Mkuu hawa jamaa wamejenga subway hivi majuzi tu nambie ni nchi gani ya kiafrika inaweza kuyafanya hayo pasipo kuwa na mafuta.. Acheni uchukozi wakuu zangu ukweli utabakia kwamba sisi nchi za kina Yakhe Udikteta tu ndio unatakiwa.. nchi zote ambazo sii za Ulaya (wazungu) ukiona zimepiga hatua mbele basi tazama kiongozi wao ni dikteta..

Zipo nchi chahce sana kama Botswana hizi ni kama wana hela za EPA. yaani ibeni mtakavyo iba humuwezi kuzimaliza, laa sivyo wao na sisi wote tumo bus moja tu.
Unapokosea katika comparison ni pale unapochukua nchi yenye a totally failed leadership na mafuta katika hii mix (Nigeria) na kuitolea mfano kama nchi yenye mafuta ambayo imeshindwa kufanikiwa.

Mimi nasema huwezi kujilinganisha na Libya (nchi yenye mafuta na mfumo repressive lakini si a totally failed leadership) kwa sababu ya mafuta bado, wala huwezi kulinganisha madini na mafuta, hata kwa output tu hayalingani. Na lazima tu employ principle ya accounting ya realization, hiyo mi gold tunayoisema inaweza kupambana na bahari ya mafuta ya waLibya?

Kama issue ni kulinganisha natural resources are we really that much better au tunajilinganisha na watu wenye neema isiyo katika league yetu?
 
It is always good to look back and see what we said then.

.....well well well......tusiangalie kirahisi.......sometimes hii kitu maendeleo ni very subjective.....mbali ya kwamba maendeleo yana principles na indicators zake.....

Ukiwauliza CCM leo kuwa...je? mmewaletea maendeleo wananchi wa Tanzania?.....Y'all know the answer....ambalo mimi na nyie na wengine some/most of the times we argue/debate about....

Juzi Mzee Mwanakijiji kauliza swali........je uwezo wetu wa kutatua tatizo la maji limeshia kwenye kuchimba visima tu?.... Companero akajibu......labda vizazi vijavyo ndio vinaweza kujitoa kwenye lindi la kufikir zaidi ya upeo tulionao.......however hata kwa kutambaa tutafika tu......it is an interesting mada to read trust me!......

Kanali Gadafi, Hosni Mubarak, Saddam Hussein na Hata Kamuzu Banda kwa mfano,.....je tunaweza kusema wao walileta maendeleo kwa nchi zao.......mbali ya udikteta wao.....lets look at their economic stats.....wakati wao........halafu tuangalie hao waliochukua nchi baada mikakati yao ikoje na kama itawatoa.........let this be our h/work.....
 
Last edited by a moderator:
SITTA ni mnafiki sana naomba kuwasilisha kwamba huyu jamaa alipigwa viboko Ikulu na Nyerere kwa fitna zake ndio maana alikuwa kwenye political wilderness for a long time. If it was not for BWM kumuweka TIC he would have been a has been long time ago. Asilete za kuleta KAMA ANABISHA ALETE HOJA DATA TUNAZO! Habari hiyo naiwakilisha JF mtafakari!!! Opportunistic people hawatakiwi TZ
 
SITTA ni mnafiki sana naomba kuwasilisha kwamba huyu jamaa alipigwa viboko Ikulu na Nyerere kwa fitna zake ndio maana alikuwa kwenye political wilderness for a long time. If it was not for BWM kumuweka TIC he would have been a has been long time ago. Asilete za kuleta KAMA ANABISHA ALETE HOJA DATA TUNAZO! Habari hiyo naiwakilisha JF mtafakari!!! Opportunistic people hawatakiwi TZ
na wewe political wilderness yako inatokana na nini?. ulipigwa viboko kama sitta?
 
kupigwa viboko kunakula ubongo???

Basi santa kayumba tuna makasha ya vichwa tu.

Afu kuna kitu huwa kinaniudhi, ila basi tu
eti mwalimu alikataza hiki, hivi sie wooote watanzania tuliobaki hatujui lipi zuri kwetu sasa??

Mwalimu alifanya alofanya kwa wakati ule, na tunaukubali mchango wake.

Lakini hii ya mazingira yashabadilika afu unasikia, alikataza, agrrrrrr
kuna watz wenye akili kabisa ya kujua tunataka kwenda wapi kwa sasa.
 
Naomba dk.slaa siku akingia ikulu amwite tena sita amtandike viboko kama nyerere alivomtandika enzi zile
 
SITTA ni mnafiki sana naomba kuwasilisha kwamba huyu jamaa alipigwa viboko Ikulu na Nyerere kwa fitna zake ndio maana alikuwa kwenye political wilderness for a long time. If it was not for BWM kumuweka TIC he would have been a has been long time ago. Asilete za kuleta KAMA ANABISHA ALETE HOJA DATA TUNAZO! Habari hiyo naiwakilisha JF mtafakari!!! Opportunistic people hawatakiwi TZ

Kwani amefanyaje mkuu nanukuu hapo nilipo bold
 
Ndiyo. Mwabulambo na Samwel Sita walicharazwa bakora sita - sita za matakoni!.. Bakora nzito kishenzi!.. Niliwahi kuambiwa na mtu wa karibu na sita kuwa alikiri kichapo alichochezea kilikuwa kizito - hajakisahau!...
 
1. Samwel Sitta
2. Moses Kibwana - former commissioner for foreign curency
3. Arnold Kilewo

Wote hawa walikuwa law faculty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom