Waliotandikwa viboko Ikulu hawa hapa

Sisi hatuna rule of law! Tungekuwa na rule of law kusingekuwa na huu ufisadi uliopo sasa.

Mkuu sio ufisadi tu. Ukifuata sheria hata kutupa uchafu ovyo-ovyo litakuwa sio tatizo. Kulipa ushuru kutakuwa ni kitu cha kuwajibika. Na mambo mengi madogo na makubwa ambayo ni muhimu kwa jamii yatakuwa yanafanyika bila kusukumana.
 
Eeeewaaaa...great minds think alike!
 
Hapana bana, binafsi nimeenda JKT 1990's utawala wa Mkapa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
mwinyi 1985-1990-1995
mkapa 1996-2000-2005
kikwete 2006-2010-2015
lowassa/membe? 2016-2020-2025

...you need more?
 
Nendeni katazameni Human development index mtaona nchi za Udikteta ndizo zinaongoza.. South walikuwa madikteta, Gabon inafuatia ilikuwa chini ya marehemu Omar Bongo (dikteta)au sio, Libya na Misri ndizo zimeshika nafasi ya juu. sasa kingine zaidi nini?

Ukweli huo hamuwezi kuuepuka.

Utawala bora sio Swala sii demokrasia na Udikteta kwa macho yangu... Umoja wa mataifa ktk mchujo wao wanasema hivi.. It's is about creating environment in which people can develop their full potential and lead productive, creative lives in accord with their needs and interests. People are the real wealth of nations. Development is thus about expanding the choices people have to lead lives that they value. And it is thus about much more than economic growth, which is only a means -if a very important one -of enlarging people's choices.

Kwa hiyo kiongozi yeyote atakayeweza kufanikisha hayo huyu ndio MTU.
 
Vipi kuhusu haki za binadamu na uhuru wao?
 
Shukran nipeni basi nafasi..au mnababaika na maghrofa ya South..

Mkandara:

Maisha bila mipangilio ni uzembe wa akili. Hivyo basi hata maghorofa yako ya south ukiyajenga bila mipangilio, uzembe wako wa akili utaonekana tu.
 
Yaani unamaanisha maghorofa ya Kariakoo?
 
Nendeni katazameni Human development index mtaona nchi za Udikteta ndizo zinaongoza.. South walikuwa madikteta, Gabon inafuatia ilikuwa chini ya marehemu Omar Bongo (dikteta)au sio, Libya na Misri ndizo zimeshika nafasi ya juu. sasa kingine zaidi nini?

Ukweli huo hamuwezi kuuepuka.

Utawala bora sio Swala sii demokrasia na Udikteta kwa macho yangu... Umoja wa mataifa ktk mchujo wao wanasema hivi.. It's is about creating environment in which people can develop their full potential and lead productive, creative lives in accord with their needs and interests. People are the real wealth of nations. Development is thus about expanding the choices people have to lead lives that they value. And it is thus about much more than economic growth, which is only a means -if a very important one -of enlarging people's choices.

Kwa hiyo kiongozi yeyote atakayeweza kufanikisha hayo huyu ndio MTU.

Mkandara:

Una-generalize sasa. Kama dikteta mmoja alifanya vizuri kutokana resources alizokuwa nazo, haina maana kwamba dikteta mwingine naye atafanya vizuri kwa resources hizohizo.
 
Hujarudi Tanzania muda mrefu nini? Siku hizi ni fashion kujenga ghorofa Tanzania.
Zakumi,
Nilikuwa huko mwezi uliopita. Kinachonipa hofu ni huu mfumuko wa maghorofa il hali sewage system yetu ikiwa taabani. Pitia pale Mikocheni karibu na ma apartments yanayomilikiwa na Mwinyi junior kuna harufu mbaya sana ya sewage. That's all.
 
Nendeni katazameni Human development index mtaona nchi za Udikteta ndizo zinaongoza.. South walikuwa madikteta, Gabon inafuatia ilikuwa chini ya marehemu Omar Bongo (dikteta)au sio, Libya na Misri ndizo zimeshika nafasi ya juu. sasa kingine zaidi nini?

Ukweli huo hamuwezi kuuepuka.

Utawala bora sio Swala sii demokrasia na Udikteta kwa macho yangu... Umoja wa mataifa ktk mchujo wao wanasema hivi.. It's is about creating environment in which people can develop their full potential and lead productive, creative lives in accord with their needs and interests. People are the real wealth of nations. Development is thus about expanding the choices people have to lead lives that they value. And it is thus about much more than economic growth, which is only a means -if a very important one -of enlarging people's choices.

Kwa hiyo kiongozi yeyote atakayeweza kufanikisha hayo huyu ndio MTU.

Huko Libya na Gabon ni mambo ya mafuta, na kwa wapiga mahesabu hawa watu walitakiwa wawe miles ahead ya walipo, kwa hiyo ingawa wanafanya vizuri ukiwalinganisha na sie, lakini bado ni failure ukilinganisha na walipotakiwa kuwa kutokana na futa lao.

Huko Misri Mubarak ame elevate nini kipya zaidi ya ku safeguard vile vilivyokuwapo, which at best can be described as being stagnant.Egypt ilitakiwa iwe na uchumi mkubwa kuliko huu wa sasa kutokana na strategic position yake pamoja na historia.Mubarak ameweka permanent state of emergency kutoka alivyomrithi Sadat urais mpaka leo, Misri kuna watoto wamezaliwa eighties hawajui kingine zaidi ya hii permanent emergency, hapo hata investor confidence hamna.

Msitetee udikteta kwa sababu mnataka vitu the easy way.Kuna namna ya kumaintain economic growth in a democracy.Kusema tunahitaji udikteta is an insult to our collective intelligence. Tunahitaji uongozi bora, si udikteta.Actually udikteta wa chama kimoja ndio huu tunao lakini hautufaidishi na lolote.
 
Mkandara:

Una-generalize sasa. Kama dikteta mmoja alifanya vizuri kutokana resources alizokuwa nazo, haina maana kwamba dikteta mwingine naye atafanya vizuri kwa resources hizohizo.
Haaa mkuu wangu vipi tena? wapi nimesema hivyo.. au umesahau kuwa nasisitiza siku zote WATU na MAZINGIRA kuunda mikakati ya maendeleo!..

Hawa ni madikteta kwa tafsiri ya Udikteta na sio kuonea watu au kuua...

Mkuu wangu Libya waliweza kulipa Usd 10 milllioni kwa kila abiria wa ile ndege walioiangusha. walilipa kitu kama Billion 2 na upuuzi.. tena wakiwa chini ya vikwazo na account yao Marekani imekuwa freezed..Mjinga gani afrika hii anaweza kumudu vitu hivyo kisha basi hawakuyumba kabisa kiuchumi kama sisi na mgao wa kukosa mw100 tayari nchi inayoyoma..

The all point ni kwamba Afrika inataka kiongozi mmoja tu mwenye vision kulingana na mazingira ya sasa ya kiuchumi. Ukiweza ku master mabebpari na kuwawezesha wananchi wako basi imetoka..nchi zote maskini sana Afrika ni hizo zenye kufuata demokrasia, kiola rais anapoingia madarakani huja na agenda zake, project hazimaliziki. Tunagawana umaskini..

Tanzania sii nchi ya kuwa ktk kumi la mwisho..
 
Sasa Mkandara unataka kutulinganisha na jeuri ya mafuta?

Halafu huo mfano wako mwenyewe unakusuta, is this really the best use of Libyan money? Unaona kukumbatia madikteta kunavyoi cost nchi?
 
Alaa Gold yote hiyo leo bei kuliko mafuta demand yake kubwa na ipo toka wakati wa nabii Nuhu,, Gas tunayo, mtazame Mrusi, Uranium of all resources, tukitaka kesho tuwe New York inawezekana kwa Uranium pekee...Watatugombania kama mnadani. Nchi kama Spain na Nova Scotia (province) zinategemea Uvuvi sisi tunafanya nini. Almasi kama Botswana tunazo U name it mkuuwangu tupewe nini jamani gunia la chawa?.. ebu kamsikilize balozi wa Ujarumani kwanza.
 
Huko Libya na Gabon ni mambo ya mafuta, na kwa wapiga mahesabu hawa watu walitakiwa wawe miles ahead ya walipo, kwa hiyo ingawa wanafanya vizuri ukiwalinganisha na sie, lakini bado ni failure ukilinganisha na walipotakiwa kuwa kutokana na futa lao.

Huko Misri Mubarak ame elevate nini kipya zaidi ya ku safeguard vile vilivyokuwapo, which at best can be described as being stagnant.Egypt ilitakiwa iwe na uchumi mkubwa kuliko huu wa sasa kutokana na strategic position yake pamoja na historia.Mubarak ameweka permanent state of emergency kutoka alivyomrithi Sadat urais mpaka leo, Misri kuna watoto wamezaliwa eighties hawajui kingine zaidi ya hii permanent emergency, hapo hata investor confidence hamna.

Msitetee udikteta kwa sababu mnataka vitu the easy way.Kuna namna ya kumaintain economic growth in a democracy.Kusema tunahitaji udikteta is an insult to our collective intelligence. Tunahitaji uongozi bora, si udikteta.Actually udikteta wa chama kimoja ndio huu tunao lakini hautufaidishi na lolote.
Mkuu nimerudi.. Wala sii kweli kabisa kwani Nigeria si wana mafuta? Labda tazama fact book kisha nambie kwa nini hao wengine wamekwama.. As a fact Mrusi anaongoza duniani kutoa mafuta kuliko Saudia lakini Mchina anampika kaa kasimama..

Mkuu Masri unaisikia tu ktk magazeti.. hatuwapi hata kwa nini yaani kifupi kimaendeleo mimi nadhani baada ya South wao wanafuata..Mkuu hawa jamaa wamejenga subway hivi majuzi tu nambie ni nchi gani ya kiafrika inaweza kuyafanya hayo pasipo kuwa na mafuta..Acheni uchuzoi wakuu zangu ukweli utabakia kwamba sisi nchi za kina Yakhe Udikteta tu ndio unatakiwa.. nchi zote ambazo sii za Ulaya (wazungu) ukiona zimepiga hatua mbele basi tazama kiongozi wao ni dikteta..

Zipo nchi chahce sana kama Botswana hizi ni kama wana hela za EPA. yaani ibeni mtakavyo iba humuwezi kuzimaliza, laa sivyo wao na sisi wote tumo bus moja tu.
 
Acha Afrika..kwani Afrika ni nchi gani inayofanya vizuri ukiondoa Afrika Kusini. Wapi duniani dikteta aliyefanya vizuri?

Hapa watu wasichanganye kati ya rule of law na dictatorship? Vitu viwili tofauti kabisa

Botswana has performed better than any other country in Africa, even better than South Africa. Zimbabwe perfomed better until late 90s, Cote d'ivorie imeperform vizuri kabla ya ujinga wao wa sasa kuanza. Mauritius as well. Kwenye sekta zote. South Africa inasifika zaidi kwa kuwa na utajiri unaotokana na dhahabu na Almasi, na fedha nyingi ambazo wanazitumia vizuri kujenga hardware, lakini (software) majority ya watu wake kuna mgogoro mkubwa. Hata wazungu wa South Africa hawalingani na wale wa Ulaya. Ni wazungu rangi tu, wengi ambao nakutana nao naona ni kama wazungu wa miaka ile ya 1625.

Lakini ukweli ni kuwa nchi nyingi za Afrika (SSA) ni ovyo sana, sasa hivi at least hope iko Angola. Tanzania perfomed better during Mkapa than any other pres in many sectors. Kama kungekuwa na mtu makini na tungeendelea na mwelekeo kama wake tungepiga hatua zaidi.
 
Bongolander,
Tanzania perfomed better during Mkapa than any other pres in many sectors. Kama kungekuwa na mtu makini na tungeendelea na mwelekeo kama wake tungepiga hatua zaidi.
Hapa umeniacha nje! wala simo katika ubishi huu..
 
Botswana has performed better than any other country in Africa, even better than South Africa. Zimbabwe perfomed better until late 90s, Cote d'ivorie imeperform vizuri kabla ya ujinga wao wa sasa kuanza. Mauritius as well. Kwenye sekta zote. South Africa inasifika zaidi kwa kuwa na utajiri unaotokana na dhahabu na Almasi, na fedha nyingi ambazo wanazitumia vizuri kujenga hardware, lakini (software) majority ya watu wake kuna mgogoro mkubwa. Hata wazungu wa South Africa hawalingani na wale wa Ulaya. Ni wazungu rangi tu, wengi ambao nakutana nao naona ni kama wazungu wa miaka ile ya 1625.

Lakini ukweli ni kuwa nchi nyingi za Afrika (SSA) ni ovyo sana, sasa hivi at least hope iko Angola. Tanzania perfomed better during Mkapa than any other pres in many sectors. Kama kungekuwa na mtu makini na tungeendelea na mwelekeo kama wake tungepiga hatua zaidi.

Hamna lolote! Afrika kusini mwa jangwa la sahara ni ulimwengu wa tatu na ni njaa na dhiki tu zilizo prevalent.
 
Bluray,

Mkuu katika hilo mimi nipo na Nyerere.. Tanzania inahitaji Dikteta huu mpango wa Ubia umetufikisha hapa tulipo. JK anashindwa kufanya maamuzi muhimu kwa sababu nyuma yake kuna wajanja kupindukia...

Yaani ni jadi ya Miafrika mkuu wangu. Kumsaidia ndugu yako ni jambo zuri sana lakini ukituma fedha kwa nduguyo zitaliwa. Ukituma ki mini bus utakikuta juu ya mawe na hakuna akiba bank, haya usiposaidia nduguzo wewe ni mgumu, mshenzi na Mbinafsi. Lipi bora! wakati mwingine kuwa Mbinafsi inasaidia sana maanake tunatuma fedha Bongo kwa maelfu hakuna kinachoendelea..Kuwa kiongozi wa familia ya Kiafrika ni jukumu kubwa na gumu kuliko kitu chochoite, isipokuwa kumchagua mbora kati ya nduiguzo ndio muhimu, wachache wameweza kufanikiwa.

Nyerere kama sisi wengine hakuwa na ujanja huo, urithi ni tatizo la Kiafrika ndio maana Wazee wetu wanapokufa na mali zao huenda kaburini..mifano ni mingi sana (i.s Mzee marehemu Lubama)yaani taifa letu linakufa kiuongozi kama familia zetu..
Mkuu asante sana kwa maelezo hayo hapo juu.

Mimi nimekuwa najiuliza muda mrefu sana kuhusu hili la Waafrika tulivyo nikawa nashangaa na kujishangaa sana. Niliwahi kuwa nazungumza na Mzungu mmoja tulipokuwa Asia kikazi tukikutana kwenye Restauarant ya mtu mmoja ambaye alikuwa tunamwona kwa nadra sana pale restaurant, lakini hiyo restaurant pamoja na duka walikuwa wanauza pale watoto wakike na wakiume, na wake zao na Bwana zao na mama yao na mara chache huyo baba yao. Nikamwuuliza yule European, hivi kule kwenu unaweza anzisha biashara kama hii na familia yenu wote mkaindesha namna hii kwa faida? Jibu unaweza kulifikiria mwenyewe. Hata Ulaya haiwezekani! Lakini sisi kwetu inabidi tukiri ni mbaya zaidi.

Ni kweli kabisa tuko wengi tunateswa na hili, unajitolea sana lakini ndugu yako, hata baba yako mzazi anakutafuna tu waziwazi bila huruma wala kujali. Kuna viongozi wako katika position muhimu sana hapo nchini ambao wangeweza kuwawezesha wazawa, lakini kuliko ampe kontract mzawa nafuu ampe mgeni. Kwake ni aibu na uchungu mkubwa mswahili mwenzie kumzidi kwa lolote. Ni nafuu akajifunza hata kuongea kiarabu au kihindi kuliko.

Ni ukweli unaosikitisha kuwa Mzee wa Kiafrika akifa hata ile nyumba ya familia inabidi iuzwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom