Waliotandikwa viboko Ikulu hawa hapa

-Kassim Hanga
-Sheikh Othman Sharif
-Dk. Kleruu

-Many of the villagization process victims where the bulk of this accusation is stemming from.Nyerere may not have killed a significant number of people directly, but his policies and mediocrity resulted in the deaths of so many, probably in the million range if not hundred of thousands. We may never know for sure the exact figure due to the nature of the secrecy of the era.

See Pratt, Cranford (1999). "Julius Nyerere: Reflections on the Legacy of his Socialism". Canadian Journal of African Studies 33 (1): 137 – 52. doi:10.2307/486390
if this is the argument to go by, the current globalization is killing more than you just mention. Just image the North Mara sagga, the Bulyankuru issues, to mention few. the imperialists' regimes never want a person who wants to liberate the mind of the enslaved. Remember, freedom is a matter of death and life and not a given gift on the golden plate.
 
acha kutudanganya dr kleruu aliuliwa na mkulima wa kawaida tu!tena akiwa nyumbani kwake na baada ya huyo mkulima kumuua dr kleruu alimpakia kwenye land rover akaburuza mwili mpaka kituo cha polisi na kujitaja mwenyewe kuwa amemuua dr kleruu!uliza wanaojua historia ya mji wa iringa watakwambia.

labda anamhusisha mwalimu in the fact that mwalimu ndio aliidhinisha kifo cha Dr kleruu kwa kusaini hati iliyoidhinisha kunyongwa kwa mkulima Said Mwamindi,bila kukumbuka kua mwalimu alikua under pressure ya wakuu wa mikoa wa kipindi hicho waliotaka mwalimu aidhinishe kunyongwa baada ya mahakama kumhukumu hivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
 
labda anamhusisha mwalimu in the fact that mwalimu ndio aliidhinisha kifo cha Dr kleruu kwa kusaini hati iliyoidhinisha kunyongwa kwa mkulima Said Mwamindi,bila kukumbuka kua mwalimu alikua under pressure ya wakuu wa mikoa wa kipindi hicho waliotaka mwalimu aidhinishe kunyongwa baada ya mahakama kumhukumu hivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
mbona umenichanganya mkuu hebu weka sawa hapa!
 
mbona umenichanganya mkuu hebu weka sawa hapa!

i mean baada ya mahakama kumtia hatiani mkulima said mwamindi kwa mauaji ya Dr Kleruu,ili mtu anyongwe ni lazima raisi asaini otherwise hutanyongwa,so mwalimu alisaini thats why Mwamindi akanyongwa
 
i mean baada ya mahakama kumtia hatiani mkulima said mwamindi kwa mauaji ya Dr Kleruu,ili mtu anyongwe ni lazima raisi asaini otherwise hutanyongwa,so mwalimu alisaini thats why Mwamindi akanyongwa

sasa hapo nyerere alimuuaje dr kleruu mkuu?
 
sasa hapo nyerere alimuuaje dr kleruu mkuu?

mkuu sijasema mwalimu alimuua kleruu,ktk maelezo yangu nilisema uyo aliyemhusisha mwalimu na kifo cha kleruu(kuna member mmoja hivi ktk post flani uko juu) labda alimaanisha mwalimu kusaini ndio kamuua yeye.otherwise labda tumeshindwa kuelewana ktk interpretation mkuu.
 
JokaKuu umechemsha,

Mwalimu aliamuru wanafunzi watandikwe bakora. Cha ajabu kipi hapo?

Nani alikwambia mwanafunzi wa chuo kikuu hachapwi bakora akichemsha? Basi hata jera asiswekwe akipatikana na hatia - maana yeye ni mwanafunzi wa choo kikuu.
Adili,

..wanafunzi wa Chuo Kikuu wamepita umri wa kukanywa kwa viboko.

..kwa umri wao wangebaki vijijini wanaweza kuwa na mke/wake na miji yao.

..tena kuna wengine wanaotokea makazini huwa ni watu wazima wenye familia.

..kwa uelewa wangu Mwalimu alijutia kitendo kile cha kuwatandika viboko "wakosaji."

..utaratibu wa kuchapa bakora watu wazima waliovunja "sheria" naamini ulianzishwa na wakoloni.

NB:

..kama wanafunzi wa chuo kikuu amefanya uhalifu basi anastahili kwenda jela kama wengine tulioko mitaani.
 
Last edited by a moderator:
Hapana bana, binafsi nimeenda JKT 1990's utawala wa Mkapa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!

Dogo utakuwa mgonjwa wewe!

JKT imekufa wakati wa Mwinyi. Maana ameanza kutawala 1985 mwishoni hadi 1995 mwishoni. Na watu wa mwisho kwenda JKT ni wale walioenda 1994 mwanzoni. Sisi tuliishia kujaza fomu na kupangiwa makambi, tukitakiwa kuripoti mwezi Januari 1995 (hii naikumbuka sana) lakini kwa mshangao wa wengi JKT ikawa imevunjwa. Tumb..ff zao walioshiriki kuivunja!!

Sema wewe kama ulienda hii ya vijana wa kujitolea lakini siyo ile tuliyokuwa tunatoka moja kwa moja High schools na vyuo vya kati kwenda JKT.

Rekebisha kumbukumbu zako dogo!
 
Nilishawahi kusema hapa, this hoopla about ujamaa na kujitegemea is hogwash, a contradiction at best.

Hakuna ideology inayoweza kutekelezeka katika a mass scale bila ya kuwa personalized kwa individuals.Ideologies zote kubwa zinaweza kuwa reduced and practiced na individuals. Huwezi kusema mimi ni mkristo katika congregation yangu Jumapili lakini nikirudi nyumbani sina dini, utakuwa unadanganya watu, kama wewe unashiriki congregation ya wakristo, unasali, unakiri imani, unatakiwa uweze ku practice ukristo huu individually,Vivyo hivyo katika ujamaa na kujitegemea, hatuwezi kuwa nchi ya "ujamaa na kujitegemea" wakati hata mmoja wetu at the individual level hawezi ku practice ujamaa na kujitegemea, kwa sababu the two are mutually exclusive.Like oil and water they never mix.

Sasa tuambieni ujamaa na kujitegemea utau practice vipi at the individual level.

Msingi wa ujamaa ni kufanya vitu pamoja, in essence kutegemeana.

Msingin wa kujitegemea ni kufanya vitu mwenyewe uwe self sufficient.

The two are mutually exclusive and cannot be practiced together, kwa hiyo hizo zilikuwa ni hoopla tu za Nyerere zilizojaa kwenye idealism na vitabu lakini hazikuwa practical. Ndiyo maana tume fail kiuchumi.

nakubaliana nawewe hapa Bluray umechambua vizuri sana. ila sioni tatizo la vijiji vya ujamaa. kwa sababu ilkuwa ni vigumu kwa wakati ule kuwafikia watu kirahisi kwa sababu walikuwa scaterd.tulitakiwa kwanza kuinvest katika miundombinu then taratibu tuwakusanye wtu katika vijiji ili rahisi kuwapatia huduma za kijamii
 
Aah wapi! hawa mafisadi wote wanaotusumbua sasa hivi wamepitia JKT. Na kama kuna mtu leo hii anaamini kuwa wanafunzi wakilazimishwa kwenda JKT basi tatizo la ukosefu wa uzalendo litaisha basi atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye uwezo wake wa kufikiri na kutafakari.

Tata,nakuchukulia kwamba angalau umekwenda shule,kila jambo lina faida na hasara. Binafsi bado naamini kwamba ni kupitia ktk jeshi kama JKT na wanafunzi wa shule za sekondari kusoma mbali ya maeneo walipozaliwa,nchi iliweza kuwa moja. Lilikua zoezi ghali lakini lilisaidia nchi kufika hapa tulipo. Tujiulize leo licha ya maendeleo makubwa ya tekinolojia ya mawasiliano,tunapendana? Tuna amani? Ninachokishuhudia kila siku ni kwamba tunazidi baguana. Chuki na matabaka yametawala. Ikizuka vita leo,gharama ya kurejesha amani itakua maradufu kuliko tungeendelea na mambo kama haya yaliyo waunganisha vijana kama Watanzania.
 
Siyo kweli. JKT ilikufa mwaka 1994

Mkuu,
Asante kwa masahihisho..Mi nilipiga 'Operesheni Vyama Vingi'..

Duh, nimekumbuka ile miraba ambayo ulikuwa ukibisha hodi kwa mtu, basi yenyewe imeshaingia..
Nimekumbuka na zile 'greenvesti za kijani' na yale makapluta...

Zaidi ni nimekumbuka 'disko aisee'... hivi 'Isabela alipatikana mpaka leo'

Natamani kuanzia 2015 kutakapokuwa na utawala mpya, sheria mpya ije ili akina Ritz, Rejao, Chama, thatha, n.k.
 
I once heard that there is a book titled THE DARK SIDE OF JULIUS NYERERE. Where can I obtain a copy please?
 
Julius Kambarage Nyerere , Mwl 1961-1985
Alhaj Ali Hassan Mwinyi ,Dr 1985-1995
Benjamin William Mkapa , Bro 1995-2005
Jakaya Mrisho Kikwete ,Dr 2005 to date
 
naona alifanya vizuri sana maana maadili kwa sasa ni F kabisa yaani naomba utawala wa Nyerere urudi kama mtu anagomea kuhesabiwa (sensa) hawa walitakiwa kuchapwa viboko tena sikuile ile waliyokuwa wanatangaza hawatahesabiwa ndio maana mpaka leo hii serikali imeingia gharama ya kuongeza muda kwa ajili ya kundi la wahuni wachache
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom