0765945869 davidmsonge@gmail.com ....nahitaji mwalimu yeyote idara ya

sekondari tubadilishane vituo vya kazi, AJE KASULU-KIGOMA, awe anatoka

MWANZA/GEITA....!
 
mazingira ya singida karibu mkoa wote yanafanana
yana tabia za tambarare,uwanda wa chini
singida watu kwa 90% wanategemea kilimo cha mvua
karibu sana mkuu huku ndio kwetu
mazao ya biashara ni alzeti,vitungu,ufuta n.k pia watu wanafuga ila sio km wasukuma
mazao ya chakula ni mahind na
yale yotte yanayostahimil ukame
ila maeneo ya singida kaskazin na wilaya mpya ya mkalama ndio yana tabia ya hali ya hewa ya mkoa wa arusha
so unapokuja omba upangwe arusha road au haidom,manyara road

Asante. Vipi katika wilaya ya Mkalama niombe nipangwe sehemu zipi ambazo angalau zipo karibu na Singida town au maeneo yaliyomo kwenye access ya barabara
 
kama kuna mwalimu anataka anataka kubadilishana,aje mtwara mjini mimi niende moro au pwani,ama kama yupo anayetaka kuja moshi,mimi niende dodoma mjini,pwani ama dar!!!plz tuwasiliane.its criuz!!!!
 
kama kuna mwalimu anataka anataka kubadilishana,aje mtwara mjini mimi niende moro au pwani,ama kama yupo anayetaka kuja moshi,mimi niende dodoma mjini,pwani ama dar!!!plz tuwasiliane.its criuz!!!!

mhhh,hii kali upo sehemu moshi na wakati huohuo upo mtwara,dah............
 
jamani kwa anaehitaji kuja mbeya wilaya ya rungwe awe anatoka dodoma,morogoro,pwani au sehemu yoyote dar kitengo cha primary tuwasiliane kwa namba 0789389152.natanguliza shukrani zangu
 
Anayetaka kufanyia kaz wilaya ya kasulu mm niende arusha,manyara-babat, tanga kahama mjin,singida mjin na morogoro tuwasiliane 0756729922/0713335756
 
Anayetaka kufanyia kaz wilaya ya kasulu mm niende arusha,manyara-babat, tanga kahama mjin,singida mjin na morogoro tuwasiliane 0756729922/0713335756. Idara ya sec
 
Salamu kwenu, Anayependa kufanya kazi wilaya ya bukoba-kagera na umepangiwa mwanza au geita, kitengo cha sec. naomba uni PM tuwasiliane zaidi.
 
Ndg njoo Kyerwa hapa ni jirani
Kwanza hongereni
kupata post zilizosubiriwa kwa hamu kubwa licha ya mizengwe za hapa na
pale lakini hatimaye yametimia.

Naomba kwa mwalimu yeyote ambaye amepangwa mkoa wa KAGERA, Manispaa ya
Bukoba(BUKOBA MJINI) angehitaji kubadilishana na mwalimu kutoka JIJI LA
MBEYA tafadhali tuwasiliane kwa simu namba: 0756082356 au
0786088394.SHUKRANI.


 
Back
Top Bottom