Mi nimepangwa Simiyu lakini Nataka Mbeya au Rukwa anayetaka tubadiloshane
kama uko singida na unataka kuja Biharamulo ni Pm
Mnaojua vizur Singida vijijin naombe msaada kujua miundombinu na pia wenyej wa kule wanajishughulisha na nin ???? Please Nahitaji kujua mazingira tu kwa kujipanga zaid wadau ahsante.