Myaparamgumu
Member
- Oct 6, 2015
- 9
- 0
Kwema wandugu, kama kuna mwalimu aliyependa kuja kanda ya ziwa RORYA -MARA yeye aje Tanga wilaya ya HANDENI, KOROGWE AU KILINDI idara ya secondary tuwasiliane kwa 0762802437.
Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoa wa arusha wilaya ya monduli. Natafuta mtu anaefundisha mbeya ili tubadilishane yeye aje arusha na mimi niende mbeya.Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums