Mtwara Newala aliyatayari kutoka mikoa ya
Morogoro
Iringa
Njombe
Mbeya
Rukwa
Idara msingi ,Wilaya yoyote katika mikoa hiyo tuwasiliane ktk
0689976850 au aniPM
 
MWL. SONGELAELI C. MSWA IDARA YA SEKONDARI MKOA WA TANGA ANATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE KITUO KUTOKA MKOA WA IRINGA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI. KWA ALIE TAYARI ANICHEKI KWA 0759 382540 Na 0652 549788
 
natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yaani anayefundisha Kinondoni/Tegeta/Ilala Dar-es-salam aje Huku wilaya ya Rungwe Mbeya kwa mwasiliano zaidi 0768798575
Mtumie na mwingine. Idara ya sekondari
 
Anayetaka ahamie mufindi nyololo sekondary anitafute tubadilishane ili mimi niende mbozi mbeya idara sekondary.0755814442
 
mwl idara ya msingi yupo mpwapwa anataka kubadilidhana na aliyeko kilimanjaro wilaya yeyote ,arumeru ,kibaha au bagamoyo anipm
 
Back
Top Bottom