Jamani naomba mwenye updates kuhusu uhamisho Wa mwezi December anipe info mana mpaka sasa sijui Niko njiapanda
 
Njoo NEWALA-Mtwara idara ya sekondari mimi nije mojawapo ya wilaya zifuatazo ktk MKOA WA TANGA;Tanga jiji,Muheza,Lushoto,Handeni,Korogwe,Mkinga na Kilindi.NIPIGIE AU NITUMIE SMS katika namba zifuatazo 0783677207,0767665619 na 0717765619.
 
Idara secondary natafuta mwl wa kubadilishananae toka dar manispaa yyte, kibaha au Mkuranga yeye aje Handeni Tanga kama upo tayar nicheck kwa 0786 475050 au 0715 475050
 
Madam Scolastica. Idara sec. Natafuta MWL wa kibadilishananae toka mkoa wa pwani (Kibaha) yeye aje Korogwe mji (Tanga) atakaekua tayar tuwasiliane kwa 0759386826
 
ninatafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje kilindi tanga mi niende mtwara (m) kama unahitaji hilo nitafute kupitia namba 0786043373
 
Njoo Handeni Tanga nije kat ya meoneo yafuatayo.
DAR MANISPAA YOYOTE
MKURANGA
KIBAHA
KISARAWE
Idara secondary
Tuwasiliane kwa
0786 475050
0715 475050
 
Back
Top Bottom