Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,697
- 1,962
ni nini mbaya na yeye?
Mtanifanya niachane na JF, maana naona wote mnanishambulia. Elimu kwenu tatizo.
Teh teh teh, kwa maana hio kaingia choo cha kike!?huna lolote hapo unajifanya mpole. Unadhani ukiachana jf utakuwa umemkomoa exellent? Ushauri wangu fungua thread uandike juu "wakusoma "naomba mnisamehe.tabu yako wewe ulijifanya much know.ndo hapoo ulipo kutana na akina exellent wamepinda kama dawa ya mbu,wewe unajidai kuinyoosha.imekuvunjikia na sasa tunahitaji uirejeshe kama ilivyokuwa.
Teh teh teh, kwa maana hio kaingia choo cha kike!?
Wakusoma nakushauri ubadilishe jina
alisha badilisha. alikuwa anajiita Ain't I. nyani ngabu akapaka sasa hivi anajiita wakusoma. huyu wakusoma ni ukoo wa akina Husninyo. anakaa dodoma anapendelea kukaa pale kivulini pub.
Husninyo ni mstaarabu hawezi kuwa na dogo kama huyuhama ni hivyo inabidi husninyo atake responsibility ya kumshauri dogo wake huyo abadilike, la sivyo tutaendelea kukomaa nae, ka mimi ndio nitadili naye mpaka dakika ya mwisho, labda mods wanipige ban.
alisha badilisha. alikuwa anajiita Ain't I. nyani ngabu akapaka sasa hivi anajiita wakusoma. huyu wakusoma ni ukoo wa akina Husninyo. anakaa dodoma anapendelea kukaa pale kivulini pub.
wenzako wanachangia wewe unachekechekacheka tu si wehu huo?
Jamani kuna post ameomba msamaha