Wakusoma

Mtanifanya niachane na JF, maana naona wote mnanishambulia. Elimu kwenu tatizo.

huna lolote hapo unajifanya mpole. Unadhani ukiachana jf utakuwa umemkomoa exellent? Ushauri wangu fungua thread uandike juu "wakusoma "naomba mnisamehe.tabu yako wewe ulijifanya much know.ndo hapoo ulipo kutana na akina exellent wamepinda kama dawa ya mbu,wewe unajidai kuinyoosha.imekuvunjikia na sasa tunahitaji uirejeshe kama ilivyokuwa.
 
Teh teh teh, kwa maana hio kaingia choo cha kike!?
 
wakusoma kumbe una mzigo wa utosha eheeeee.........!!!!!!!!!!!! me naona ungekuwa mkulima maana una samadi ya kutosha tu.
 
Kama anus yake imepitisha mzigo wote huo bila shida basi itakuwa huwa wana-mcameron!
 
Wakusoma nakushauri ubadilishe jina

alisha badilisha. alikuwa anajiita Ain't I. nyani ngabu akapaka sasa hivi anajiita wakusoma. huyu wakusoma ni ukoo wa akina Husninyo. anakaa dodoma anapendelea kukaa pale kivulini pub.
 
hama ni hivyo inabidi husninyo atake responsibility ya kumshauri dogo wake huyo abadilike, la sivyo tutaendelea kukomaa nae, ka mimi ndio nitadili naye mpaka dakika ya mwisho, labda mods wanipige ban.
 
lol kumbe ndo yule,sikujua,atabadili tena
 
hama ni hivyo inabidi husninyo atake responsibility ya kumshauri dogo wake huyo abadilike, la sivyo tutaendelea kukomaa nae, ka mimi ndio nitadili naye mpaka dakika ya mwisho, labda mods wanipige ban.
Husninyo ni mstaarabu hawezi kuwa na dogo kama huyu
 
wakusoma kumbe una mzigo wa utosha eheeeee.........!!!!!!!!!!!! me naona ungekuwa mkulima maana una samadi ya kutosha tu.
huyo vile toilet vya kulipia akiingia mara moja anajaza
 
alisha badilisha. alikuwa anajiita Ain't I. nyani ngabu akapaka sasa hivi anajiita wakusoma. huyu wakusoma ni ukoo wa akina Husninyo. anakaa dodoma anapendelea kukaa pale kivulini pub.

Nani akae dodoma wewe? tatizo lako na ufinyu wa akili /uelewa wako ww unajua kila JF member ni MTZ.
 
wenzako wanachangia wewe unachekechekacheka tu si wehu huo?

hahahaaaa! wakusoma shikamoo kaka.nilikuwa nadhani haupo kumbe unafutilia mada kwa ukaribu.ukiona mtu kakaa tenge unamweka sawa.dah! Nimecheka mno!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom