SUA FM, mchakamchaka/magazeti msomaji wenu anakera sana

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Nimekuwa mfatiliaji mkubwa wa vipindi vya sua fm ila kwenye kipindi cha mchakamchaka wasomi wenu wa magazeti mnaboa sasa.

Mnasoma magazeti kama wanafunzi wa chekechea,. Mara aaaaa aaaaa!!!!! mmmhhh!!!!!!! mmmhhhh!!!! Mara mlikosee neno OKTOBA.

Kipindi kinapoteza mvuto kwanini?

.....................................................................
Update

11/10/2022
Tokea nimeweka hili bandiko siwasikii tena wale madada wakusoma wagazeti akina winifrida mwakarobo SIJUI ndo nimefanya kibarua chenu kiote nyasi,. Kama ni hivyo basi naombeni mnisahameheni sana sijafanya kwa kukomoa ilikuwa tu sehemu ya kujenga,.
 
Kilimo na utangazaji wapi na wapi, warudi kwenye Vet huko na hotculture.
 
Back
Top Bottom