Naomba kufahamu kuhusu Scholarships katika nchi (china, Japan na UK)

man of sun

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
331
460
Wapendwa me napenda kufahamu je kwa mtu mwenye uhitaji wakusoma nje katika nchi zilizo wekwa hapo juu.

Je afanyeje ili aweze kupata na je huwa Kuna taratibu na hatua zipi anatakiwa kuzifwata ili aweze kufanikisha Hilo swala kwa hapa Tanzania na hizo scholarship
 
Nenda Youtube search EBM halafu utaendelea naye kila kitu unachotaka kujuwa kipo hapo, au msearch page yake Facebook video clip zipo huko pia

Jiandae na bundle elimu yake nu kwa njia ya video clip.
 
Wapendwa me napenda kufahamu je kwa mtu mwenye uhitaji wakusoma nje katika nchi zilizo wekwa hapo juu.

Je afanyeje ili aweze kupata na je huwa Kuna taratibu na hatua zipi anatakiwa kuzifwata ili aweze kufanikisha Hilo swala kwa hapa Tanzania na hizo scholarship
Ninatoa ushauri juu ya hili, ila ujiandae kulipia.
 
Wapendwa me napenda kufahamu je kwa mtu mwenye uhitaji wakusoma nje katika nchi zilizo wekwa hapo juu.

Je afanyeje ili aweze kupata na je huwa Kuna taratibu na hatua zipi anatakiwa kuzifwata ili aweze kufanikisha Hilo swala kwa hapa Tanzania na hizo scholarship
UK
1. Chevening scholarships
2. Commonwealth scholarships

China
1. CSC
2. Mofcom

Japan
1. Japan world bank Scholarship
2. Mext

Ila kama mdau mmoja amekuonyesha pia mpitie jamaa mmoja anaitwa Ernest Boniface Makulilo aka EBM utapata nondo zaidi. Hizo ni baadhi nilizo mention ila kuna scholarships, assistantiship, fellowships zakutosha sana kwenye nchi ulizoandika hapo
 
Back
Top Bottom