Wakusoma

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Wakusoma haya ndo mambo unayoyafanya humu.
458376.jpg
 
Exxlent umenifanya nicheke sana, hii ni balaaa, wakusoma hajachanika maeneo? Alikula kande nini?
 
Exxlent umenifanya nicheke sana, hii ni balaaa, wakusoma hajachanika maeneo? Alikula kande nini?
yaani kila ninapoweka post yangu huyo jamaa lazima aje kuponda,sijui ana tatizo gani
 
Afadhali excellent umenisaidia!ndo zake kuchafua hali ya hewa huku.kama hapendi jokes aende jukwaa linalomfaa!sh¥*¤* zake!
 
avator yako mbaya km ww ulivyo mbaya rohoni mwako

unataka niwe na sura nzuri wanicameruon kama ulovyo wewe? Hiyo ndo sura ya kiume, nicheki hapo kati ninavyoshine na bro zangu pembeni., hapo bro mwenye tai katoka kiwanja kwa obama.
 
Back
Top Bottom