Haya mambo anayofanya Msajili wa Hazina Ndg Nehemia Mchechu ni wana CCM wachache watanavutiwa nayo; hongera sana sana sana kuyashape mashirika ya umma

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Moja ya mtu anayefanya kazi kubwa na kitaalam ni Nehemia Mchechu; amefanya vizuri NHC wana CCM wakamwonea wivu na kumshauri Magufuli Amtumbue. Amefanya vizuri sana kwa muda mfupi kama msajili wa hazina ; its like yeye ndiye mtu wa kwanza kuteuliwa kuifanya kazi hiyo.

Changamoto iliyopo ni kwamba waliomteua awamuelewi, anaowasimamia awamwelewe na wananchi pia awatamwelewa. Anayofanya anaonyesha kuwa na uwezo mkubwa wa fikra kuliko waziri wa fedha na waziri wa Mipango. Anaonekana kuwa na mikakati mikubwa kuliko hata gavana wa Tanzania.

Ukiwa na outstanding performance ya huyu bwana chini ya watu wenye uchu wa madaraka lazima ukwamishwe na mizengwe na fitina ikiwemo kuletewa deal la rushwa ili wakuondoe kwenye reli ukakae nyumbani. Nakumbuka alivyokuwa National Housing akatumbuliwa wabunge wa CCM walilipuka kwa furaha; baadhi ya waliofurahi leo ndio mabosi wake. Je wamemwelewa?Wameacha kumwona fisadi? Wameanza kuona kipaji ndani yake?

Hongera Mh. Rais kwa turufu hii muhimu kwenye utumishi wa umma na mashirika ya umma. Tunapaswa kuwa na type hizi kwenye wizara ya mipango, tuwe na type hizi wizara ya fedha na BOT; less than five key figures wanaweza kutupa suluhisho la crisis ya dola na mdororo wa uchumi.

Tunahitaji watu kama hawa wasiammia majadiliano ya mikataba ya nchi bila kuingiliwa; tunahitaji watu kama hawa watupe suluhu ya usimamizi bora wa miradi ya serikali. Nchi haihitaji wasomi inahitaji watu wakusoma na kuelewa. Tatizo tuna wasomi wengi ambao hawana hobby yakusoma
 
Amefanya nini?
Halafu jitahidi kwenye uandishi wako uwe makini na kuanza na herufi sahihi kati ya "a" na "h", maana msomaji anaweza pata maana tofauti na ile uliyokuwa umeikusudia.
"awamuelewi" ni "hawamuelewi".
"awatamwelewa" ni "hawatamuelewa".
 
Ila umeelewa
 
Fuatilia mambo ya nchi yanavyokwenda ; hakuna maarifa yatakuja kwa kusubiri kila kitu upewe hapa. Washa TV ufuatilie nini kinaendelea Arusha
 
Back
Top Bottom