Inakuwaje waliopata GPA ya 2 wanapata kazi huku waliofaulu zaidi wakiachwa wazurule?

Tanzania ni nchi ya Ajabu sanaa yani unakuta mtu aliyepata GPA ya 2 yupo Ofisini huku Yule Aliyepata GPA ya 4.5 yuko mtaani anazurula . Huu ni Uzwazwa na Kutengeneza failure Generation kwasababu hata waliopo mashuleni hawaoni ule umuhimu wakusoma kwa bidii tena
Aliyepata GPA kubwa ni tishio sekta ya ajira, na ndio maana ajira zingine huajiri elimu ya chini kama diploma.
 
Mkuu tofautisha kusoma na kufaulu na pia kusoma na kujua unachokifanya.Sometimes wanaopata ajira mapema kuna kitu wanacho kichwani ambacho ni very important na muhimu ikimtofautisha na mwingine.

Waajiri wanaangalia nini unaweza offer kampuni yake kama kusoma kila mtu kasoma.
 
Tanzania ni nchi ya Ajabu sanaa yani unakuta mtu aliyepata GPA ya 2 yupo Ofisini huku Yule Aliyepata GPA ya 4.5 yuko mtaani anazurula . Huu ni Uzwazwa na Kutengeneza failure Generation kwasababu hata waliopo mashuleni hawaoni ule umuhimu wakusoma kwa bidii tena
Kama sifa ni degreee. Mwenye GPA ya 2 akikushinda interview anapata kazi. Sifa ni Degree sio GPA
Halafu watu wenye GPA kubwa wala hawana maajabu yotote huku makazini wakawaida tu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hata hao wenye GPA ya 4.5 ndo hawa hapa pia

Mkuu tofautisha kusoma na kufaulu na pia kusoma na kujua unachokifanya.Sometimes wanaopata ajira mapema kuna kitu wanacho kichwani ambacho ni very important na muhimu ikimtofautisha na mwingine.

Waajiri wanaangalia nini unaweza offer kampuni yake kama kusoma kila mtu kasoma.
Nchi hii ni connection 99.99%. Kama humjui mtu hata kama una nini ni kazi bure
 
Back
Top Bottom