Wafanyakazi: JK Hahitaji kura zetu

Status
Not open for further replies.
bila shaka wewe ndo masikini wa akili. yaani wewe kuwa mwana chadema ndo unaakili sana sio?
this is politics do not pretend ignorance

ngwendu,

Usianze matusi kwa sababu tu ya ushabiki wa kipuuzi wa siasa. Tujenge hoja za kuweza kuongeza ubora wa hali za wanjamii badala ya hoja za kupendelea vyama ambazo hazitusaidii sana.
Hata hivyo mimi si mwanachama wa chadema kama unavyofikiri, mimi ni mwana CCM halisi ambaye sipo kwenye active politics.
La msingi ni kwamba sishabikii kijinga kama unavyofanya!
Siasa siyo ushabiki wa kipuuzi namna hiyo!
Politics is the methods or tactics involved in managing a state or government by the art or science of government or governing, especially the governing of a political entity, such as a nation, and the administration and control of its internal and external affairs.

Better remain silent than exposing your ignorance!
 
SIHITAJI KURA ZENU.jpg

tshit zinauzwa.... Wahi mapema....exlussive kwa wafanyakazi wote tanzania.

[font=&quot]
[/font]
 

tshit zinauzwa.... Wahi mapema....exlussive kwa wafanyakazi wote tanzania.

[font=&quot]
[/font]

Tunashindwa kusoma maneno, hebu tujuze maneno yanasemaje kwenye hiyo T shirt, exclusive kwa wafanyakazi, samahani ni wafanyakazi wepi maana kuna wafanyakazi waliopewa nyongeza na wale ambao hawakupewa nyongeza na kura zao hazihitajiki.
 
heheh wale mbayuwayu na wazivae tuone afwande watakavyo kura nao aroooo! ryaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huwa nawaza sijui ilikuwa jazba ndo akaongea hayo!
Sasa inaanza kumcost,that should CHADEMAS opportunity to capitalize
 
Kwa mujibu wa Dr. Slaa. Kiburi cha ccm ndio kilimfanya jamaa atoe kauli hii
Kura yako na mimi itakomesha hiki kiburi cha sisiemu!!
Kuna watu walikua hawajawahi hata kuota kwamba kuna siku KANU itaondolewa madarakani!
The same with CCM.
But let me aure you. This is the END!
Bye BYe CCM
 
sasa kazi kwenu wataalam wa IT, hii picha inatakiwa iwe kirusi,kama kile cha Odinga kwenye uchaguzi wa Kenya..
 
MUNGU TUBARIKI TUNAO TARAJIA KUPIGA KURA 31/10/2010. HAKI YA MUNGU MI NTANUNUA KWA GHARAMA YOYOTE ILE! Kweli 'Sikonge umenikuna'
 
attachment.php

Bwana Sikonge amesha mmaliza mtu kwa kutumia kauli zisizo chuja maneno
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom