Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,508
- 1,338
...Na huu ndio mwanzo tu, subiri miaka michache ijayo idadi yao itakapokuwa kubwa kuliko ya Watanzania, maana bado wanaitana, hapo ndio tutajuta kwa kuwaruhusu Wachina kuingia nchini tena wengi wao wakiendelea kuishi kiharamu.
Hii nchi yetu sijui ni lini tutajifunza kwadhibiti wageni, ipo legelege kila sehemu