Wachina hawafungui maduka leo huruma

Watanzania bana eti leo wanawaponda wachina wakati 99% ya watanzania wanatumia bidhaa za china.

Mpaka visimu ambavyo wanavyotumia humu JF ni vya China
 
Inasitikitisha sana kuona watu wanshabikia unyama aliofanyiwa huyo Mchina. Huo unyama ni mbaya kwa binadamu yeyote yule. Walaaniwe wale wote wanaoona alichofanyiwa huyo mchina ni sana. Walaaniwe wale wote wanaoona kuwa ujambazi lazima ukumbatiwe.
 
Kuandamana na kufunga maduka kwa hapa tanzania haitakua na tija mana wachina nao wanaua watanzania na hawafanywi chochote, hapa naona kale kausemi ka MTENDA AKITENDEWA ANAONA KAONEWA
 
Akili ya mtu utaijuwa kupitia moja au yote ya hayo yafuatayo...
1. Maneno yake .. Katika hili la mchina kuuwawa........ wauwaji waliopo JF utawajuwa kupitia wanachoposti
2. Avatar zao......... Avatar anayotumia mtu inaelezea vitu anavyovipenda na hivyo kutujulisha sisi wengine juu ya mitazamo yao kwenye matukio mbalimbali
3. ...........
 
unajua wapo wachina wengi wanapigwa kurasini sema hawafi.kinachowaponza wachina ni kukaba hadi penati.ofisi nyingi za wachina zipo kurasini,na wajanja wote wa dar es salaam kazi zao ni kurasini.kumbukeni UDA,TICKS,BANDARI,MAKAMPUNI YOTE YA MAFUTA NA MELI ZIPO KURASINI.so hawa wachina wanajifanya kubana sana ndo maana kila siku wanapigwa.njia wanayotumia wazee wa ishu inapita pale namba 8 na kwa wachina.sasa wachina wakiona wanajifanya kupiga simu ndo maana wanafanyiziwa.mia
 
Watanzania bana eti leo wanawaponda wachina wakati 99% ya watanzania wanatumia bidhaa za china.

Mpaka visimu ambavyo wanavyotumia humu JF ni vya China
Mkuu ritz naona hata wewe unatumia losheni ya mchina manaa hilo liuso lako linatisha!
 
Usalama wa raia wa Kitanzania au wa Kigeni ni kitu cha umuhimu sana. Two wrongs cannot make any one good. Ukweli ni kwamba usalama wa raia katika nchi hii ni wa mashaka hasa kwa majambazi ambao wengi wanakula na hao wanaoitwa polisi.
 
Nawapa Pole wachina Woote wa Tanzania.
Waliotenda hili Jambo wakamtwe na wapewe hukumu ya mfano ,ili iwe Tahadhari kwa Wahlifu wote nchini.
 
CDM inaingiaje hapa mkuu, mawazo yako mufilisi wewe...

Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa CDM humu JF, acha kundandia pipe kwa mbele.

Huyo niloimjibu mimi namjua ni kada wa CDM ndio maana nimemwambia hayo maneno
 
Bado Wakenya, Waganda na Wageni waliopo, Piga Roba wote pumbafu zao kwani makwao hakuna sehemu zakufanyia biashara zaidi ya Tanzania? Kwanza Immigration wapo wapi inabidi waulizwe kama wanavibali halali vya kuishi kabla ya kuandamana sio kukaa maofisini na kupekea Rushwa kama Yule mjinga wa Magogoni
 
asse
Bado Wakenya, Waganda na Wageni waliopo, Piga Roba wote pumbafu zao kwani makwao hakuna sehemu zakufanyia biashara zaidi ya Tanzania? Kwanza Immigration wapo wapi inabidi waulizwe kama wanavibali halali vya kuishi kabla ya kuandamana sio kukaa maofisini na kupekea Rushwa kama Yule mjinga wa Magogoni
Lazima una uhusiano na mtilkila
 
Hao wa China hapa Tanzania wameua Watanzania wangapi? hebu watoe upuuzi wao, Kwanini wasirudi makwao, Njaa zao ndio zinazowasumbua kuja huku Tanzania. halafu tunasema china imeendelea kama imeendelea mbona wanakimbia makwao? Watutolee ujinga wao hapa. Sisi wenye tunakazi ya kumtoa Mkoloni mweusi halafu wao wanakuja na ujinga wakuandamana
 
ni kweli kabisa kwao wakiandamana wananyongwa
inawezekana walishatusoma tulivyo mabwege

...Na huu ndio mwanzo tu, subiri miaka michache ijayo idadi yao itakapokuwa kubwa kuliko ya Watanzania, maana bado wanaitana, hapo ndio tutajuta kwa kuwaruhusu Wachina kuingia nchini tena wengi wao wakiendelea kuishi kiharamu.
 
Back
Top Bottom