Wachina hawafungui maduka leo huruma

Namsikitika Mtikila ndie mtu pekee alieweza kutamka waziwazi wageni wamezidi waondoke kwao magabachori,hivi mkuu unajua wahindi ndio waliotufikisha hapa tulipo ndio wao waliofundisha kufoji hati mbalimbali ndio wao walioshamirisha rushwa kwa viongozi wetu ndio wao wanaowalete ndugu zao bila x=vibali vya kuishi hapa nishawakuta wahindi kibao kwenye majengo yao wamefichwa hawana viballi wala kiswahilihawajui,achilia mbali kiingereza ,baada ya n,muda wanakuwa mabosi kwenye viwanda vyao ,nikawakia wakipigiana simu Njooni tz hata bila nguo mtarudi kwenu India matajiri,juzi nimewakuta wachina wanapiga siling board TMJ Nje hakuna hata bango la Contractor sijui Board kama wanajua hili na hao wachina wana working permit
Tembelea viwanda vya nguo vyote vya Tanzania.Kuna Wahindi hawatoki nje maana hawana vibali kabisa.Mfanao KTM,NIDA,POLYTEX..Kweli Mgamba ,,,,
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
 
wachina ni binadamu kama binadamu wengine,wapo hapa kwa kufuata taratibu zote za kisheria ndio maana wanaweza kuwa hata barabarani kwa maandamano. Cha msingi hapa wanajaribu kuikumbusha serikali kuimarisha ulinzi. Ambao utakuwa kwa manufaa ya wote sio wachina peke yao tu.Mnataka mpaka wake zenu wapigwe risasi ndio mjue ni tatizo
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???[/QU we ni jambazi la dar?
 
kumbe wewe unawajua, nchi inaelekea kubaya basi. Si unajua 'shetani akizeeka anakuwa malaika!? ....na malaika akizeeka je?)
Inaelekea hii ndiyo Tanzania tunayoijenga japo siyo tunayoitaka
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
 
Tembelea viwanda vya nguo vyote vya Tanzania.Kuna Wahindi hawatoki nje maana hawana vibali kabisa.Mfanao KTM,NIDA,POLYTEX..Kweli Mgamba ,,,,

Sio Tanzania tu, ata katika nchi za magharibi kuna watu kibao wanaishi tu bila makaratasi, ndio utafutaji huo.
 
Wakuu msiwaponde wachina kwa kila kitu maana kinachowafanya waandamane ndio yale yale ya "ukiona mwenzio ananyolewa....".
Hii kitu (kama ndiyo inahusiana na hii thread) nilisoma jana kwenye gazeti la Mwanachi na kama na sio sign nzuri kwa maisha ya Watanzania.
Siku nyingine Wamarekani (nasikia) waliingilia kati vijana fulani wakamatwe baada ya kushuhudia raia wa nchi zao wakiporwa na kila wakiripoti polisi hakuna kilichofanyika wakati wale vijana wanajulikana kwa watu wengi tu na ukatili waliokuwa wakiufanya katika harakati zao za uporaji!
Mawazo ya wachangiaji wengi yana usahihi lakini kuna haja ya kutafakari 'what is all about this'!
Nimeambatanisha hili tangazo lililotoka kwenye gazeti la Mwananchi jana Jumapili.
View attachment 39277
Ehee hata wameshindwa kumzika kwao!Lol tena Mwekezaji?Ninashaka na kazi yako ilikuwa vipi?
 
Sasa mambo gani ya kusababishiana foleni zisizo na mpango?kwani huyo aliyepigwa roba ya mbao hadi kufa anatofauti gani na wengine wanaopata adha kama hizo?me naona warudishwe kwao tu wamepewa lifti wanaanza kupiga na honi tena.
 
leo nashangaa sana wachina kuandama kisa mwenzao kauwawa, hawakumbuki hapa shinyanga ndo wachina haohao walimuua kinyama ndg yetu kwa kumpiga kisha kumgonga na gali hadi kufa eti kaiba mafuta, na serikari haikufuatilia jambo hilo, inakuwaje leo wao wanaona uchungu? Wasitupotezee muda wetu , hata cc tunakumbuka ndg yetu aliyeuwawa na wachina shinyanga tena kwenye mradi mkubwa wa maji ya ziwa victoria. Police tawanya hao....
 
wao kianza tu utasikia eti ni wafadhili wa cdm....kila la kheli qi hun na wenzako..
 
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Mkuu futa hii kauli leo hii kabla jua halijazama.
 
ndio kisa (on red) cha kudhania kuwa Watz tuna kasoro maana hata walivyokufa watu zidi ya 2000+ kwenye Spice Islander (mbali na wa Arusha, Mbeya, Igunga nk) hatukuandamana. Wanatufundisha the whole concept of "expression of concern"
Sasa mambo gani ya kusababishiana foleni zisizo na mpango?kwani huyo aliyepigwa roba ya mbao hadi kufa anatofauti gani na wengine wanaopata adha kama hizo?me naona warudishwe kwao tu wamepewa lifti wanaanza kupiga na honi tena.
 
Daa yan kupigwa kabali wanaandaman wacha na sie Mbeya tuandamane nondo zimezid
 
Back
Top Bottom