SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 457
Sitashabikia kuuawa kwa binadamu yoyote kwa sababu yoyote. Ingekuwa vizuri zaidi wakajilinda, wasitegemee polisi wa bongo kwani kuna baadhi yao wana connections za ujambazi. You can always pack the heat!!... wakikuwahi poa, ukiwawahi ndio hivyo tena.