.
pamoja na mengi yaliyoandikwa na kubainisha wazi katika Tanganyika Mkoloni wa mwisho kutawala hakuwa Mwaarabu bali alikuwa Mwingereza. sasa mimi nafikiri ungesema nchi zilizokuwa zinarawaliwa na waarabu katika Afrika ambazo simply ni zile zinazoongea kiarabu kama Egypt, Algeria, Sudan, Tunisia nk na pa kuongezea kama ZANZIBAR ufanye ulinganifu.
Mimi na hilo limejionyesha vyema huko Tanganyika kuwa maeneo waliokaa waarabu yalikuwa mazuri sana na yalijengwa vizuri na watu wake kuwa waungwana na wastaarabu na watu walikuwa waislam.
sasa wakoloni walipoona hivyo na kutaka kuuwa uislam na JKR aliliendeleza hilo na KUUA UISLAMU HAWAKUTAKA KUENDELEZA MAENEO HAYO baada ya UHURU.
MIMI KAMA MCHUMI sikubaliani kabisa na TANGA kufa kiuchumi wakati Tanganyika inapata uhuru miji iliyokuwa maarufu na yenye maendeleo makubwa ni DAR, MORO wakati huo iliitwa MKOA WA PWANI na TANGA.
Umaskini wa Tanganyika ukiiangalia kisawasawa ulisababishwa na UDINI yaani KUCHUKIA MAENEO YA WAISLAMU, yaani kupuuza bandari za Tanga, Mtwara, pangani, Bwagamoyo.
Angalia kenya pamoja na kuwa majority ni wakristo lakin hawakuwa waDINI hivyo waliendeleza bandari ya Mombasa
msitafute mchawi wa maendeleo duni sehemu za walizokaa waarabu huko Tanganyika NI UDINI ULIOSABABISHA YOOOTE HAYO YAANI KUCHUKIA UISLAMU NA WAISLAMU
Thank you
hilo ndilo jibu lakini kuna watu watataka kulipinga