matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,595
- 15,389
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.
Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.
Kwa nini watu hawa wanauelewa mdogo.
1: Asilimia kubwa ya watu wanaosema wanadini na kumuamini Mungu wanaamini uchawi na ushirikina. Ni asilimia ndogo kama 10 tu ya watu wa dini ndio tuko committed 100%. Hivyo karibu 90% ya raia wangetosha kuleta maendeleo bila dini.
2: Nimezunguka kwenye ofisi za umma, nimeona, makampuni, masokoni kwa wafanyabiashara wote wako bize hakuna hata mambo ya dini ofisini lakini bado umeme wameshindwa, maji hakuna, madawa hakuna na nchi bado mambo yanaenda kwa kudemadema.
3: Asilimia kubwa y a wasomi wa nchi hii hawamuamini Mungu kama wanamuamini ni kwa kuungaunga lakini sioni mchango wao hadi tuipalazie dini.
3: China wameendelea hatujaona athari ya dini zao, wahindi hinduism, waarabu islam, wamarekani ukristo hasa wakiprotestant kote wameendelea na dini wanaziheshimu vilevile.
4: Asilimia kubwa ya watu hadi wachungaji na mashehe wanaamini sana dini za jadi za kichawi kuliko ukristo na uislam. Hata hawa tunaoona wanajaa TPekers hafuati dini wanaenda kanisani kama wanavyoenda kwa waganga kutafuta tiba. Bado dini za kitanzania za kijadi na kiganga zimefeli kuleta maendeleo.
Watuache watu wa dini za kikristo na kiislam. Msitupakazie umasikini. Umasikini wetu ni matokeo ya dini za mababu zetu na mila na desturi potofu.
Ni hayo tu.