Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

Status
Not open for further replies.
Kibiashara wako vizuri tu Sana. Kumbukumbu zinanionyesha matajiri wakubwa Tz almost 80_ 90% ni wao. Biashara kubwa za mafuta nawaona wao

Ila kwa elimu ya drsn wako chini kidogo kulinganisha na wapagani . Na hili ni la mirathi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mambo ya historia na desturi lakini matajiri wakubwa nchi ni waislamu lakini wa asili ya Uarabuni na India, wengine nadhani utamaduni wa uswahili unawavuta nyuma, lakini tutafika...
 
Sio kweli,,,
Waislamu mbona wapo sawa tu...
Matajiri wakubwa wengi ni waislamu..
Wapo pia waislamu wasomi wengi..
Marais waislamu walikuwepo...
Ma mawaziri,,wakuu wa mikoa,,igp,,rc..majenerali,,makatibu wa wizara...wanamiliki viwanda vikubwa na vya kati,,,mabasi ya abiria na maroli mengi tu wanamiliki..vituo vya mafuta,,
Hata Uhuru walipambana sana pamoja na mwalimu nyerere bila kuangalia imani zao,,,
Hawaonewi wala hawapendelewi..mambo yapo sawa tu,,
Mm nina deni kubwa sana nadaiwa..aliye nikopesha ni muislamu na c jampa mwezi wa tatu sasa ananidai zaidi ya milioni mbili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom