Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

Status
Not open for further replies.
na umasaini nako walipita waarabu na kulowea ndio maana jamii yao ipo nyuma kimaendeleo na kielimu. Matokeo yake kundi la vijana wanaishia kwenda kumpa "company" mmoja wao kulinda eneo dar, all day wakati aliyeajiriwa ni mmoja tu.

Na dont forget haiti ilikua koloni la saudi arabia.




sasa kama unayajua haya mbona mkianza kulalamika kuwa mlinyimwa haki za maendeleo huwa hamkumbuki kutaja hao wengine? Huwa mnaona ni waislamu tu wako nyuma. Leo unakataa. Basi acheni kulalamika kama ninyi tu.
 
acha ubaguzi wewe,na uache kutukana watu,je ni watanzania wangapi ambao si waarabu wameajiriwa nakupata riziki zao kwa waarabu? Bakhressa tu ametoa ajira kwa waafrika watanzania zaidi ya laki3 kwa taarifayako.

Mkuu jazba na povu la nini yakhe. Kumbe unawahusud hao wamanga. Lolz. Maxshimba is correct.
 
Kaazi kweli kweli, hivi, umesoma angalau kichwa cha habari/mjadala?

Is the heading diffective and/or defacto? Is there any merits katika heading hii? Let us assume that the writer of the thread asked unethical question and/or came to a wishful thoughts, then is it true that Bagamoyo kumendelea kuliko Arusha? Au Hiyo Tanga unayo ipigia debe inamaendelea kuliko Kilimajaro? Hivi huko kupangika ni maendeleo?

Let me go another way, je, nishule zipi zilijengwa na hao Waarabu unao jaribu kuwafagilia? Au Wapi tunaona kuna Mahospitali yaliachwa na hao Wamanga? Just give me one exhibit, then I will conclude that this thread lacks merits and is unethical, to wit, ad infinitum.

Still I don't get constructive argument kutoka kwenu, zaidi ya blah blah zinazo-onyesha mapungufu katika maneno yenu, inter-alia, fikra.

He can't
 
Na umasaini nako walipita waarabu na kulowea ndio maana jamii yao ipo nyuma kimaendeleo na kielimu. Matokeo yake kundi la vijana wanaishia kwenda kumpa "company" mmoja wao kulinda eneo Dar, all day wakati aliyeajiriwa ni mmoja tu.

Na dont forget HAITI ilikua koloni la SAUDI ARABIA.

And Haiti is the most poorest country in the western hemisphere! Kwa hiyo unatuambiaje?
 
Nahisi kama kuna watu wameshapandikizwa humu JF kuja kuchafua hali ya hewa kwa mambo ya UDINI ili serikali ipate sababu ya kuifungia JF! Na mmoja wa hao watu ni huyu aliyeanzisha hii thread, jamani tujihadhari nae huyu mjamaa...
 
Ndugu,
nadhani kuna point tunapoteza, hivi mnaongelea waarabu gani? maana kama ni issue ya uvivu na umasikini labda mnaongelea waarabu wa Tanzania.. (nasindwa sijui niwaitaje..) Kabla sijapata nafasi ya kutoka nje ya Tanzania, nilikuwa na mawazo yanayofanana na hayo. Na zaidi ya hilo nilikuwa nikiamini kuwa hawa jamaa ni vilaza ( watu wasio na uwezo wa kimasomo..) mtazamo huo nimekuja kugundua sio sahihi kabisa. Nimepata bahati ya kusoma na watu toka Egypt, Jordan, Syria, Saudia.. kwa kutaja wachache... ki ukweli uwezo wao wa kimasomo uko juu tu, na Ki teknolojia, bila kusita ni kwamba wenzetu wanatupita.. vitu vingi tunavyosoma angalau wenzetu wasmeshawahi kuvisikia au kuviona na kuvitumia.

Mi nadhani issue ya umasikini na uvivu tutafute theory mpya , maana kama hicho ni chanzo, nilitegemea na kwao iwe hivyo.. kitu ambacho sio kweli.
Maana linapokuja suala la kukata nyanga, jamaa tunatoboa nao kama kawa tu...

Ukiangalia hata suala ya creativity.. ndugu pita Dubai.. au hata kwa Babu Gaddafi, huwizi kuamini kama hilo eneo ni jangwa...

Tuache kupakazia watu, tutafute vyanzo sahihi vya umasikini wetu, na tuanze kuvifanyia kazi... Acha Blah Blah CHAPA KAZI.
 
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.

Oooops
 
Tanga hakuna ombaomba na ukimuona ombaomba ni kutoka Ddoma walikopita wazungu wakiristo.

Toka hakunashida ya vyakula na watu wanalima, nadhani ukitoka Tanga kwenda kenu unayaona mchungwa yalivyo jazana barabrani, tatizo ni masoko, lakini watu wanalima
Wanaokufa na njaa ni sehemu walizopita wazungu kama Ethiopia nk

Tanga nimkoa unaolinda tamaduni zake z kiswahili all around

Vjana wa Tanga niwapekee wanao jenga makwao kuliko mikoa mengine iliyopiptiwa na wazungu, vijana wao wanakimbilia Dar wanasahau makwao. Na hizo sehemu ulizoona nyumba nzuri wengi ni Vijana waTA, wachaga na wengine wa kuja wapo kama sehemunjingine yoyote wanapo kwenda wahamiaji


Zikosehemi nyingine zinaitaji development, hi haiusiani na warabu, Kibira Nairobi nisehemu chafu kuliko popote duniani na pale walipita ni wazungu wakiristo

Hii hoja ya uwarabu na uvivu ni baseless. Waarabu walichangia vitu vingi Tz na around the world. soma mchango mwangu juu.

Acha kujidanganya na kudanganya watu! Hata sasa Tz tuko nyuma sababu ya waarabu،
 
Wakristo+makafiri= mashoga +wasagaji

Elewa kwanza mashoga watoka wapi? Znz, mombasa,Tanga, na mikoa ya huko pwani! Huku kaskazini wakija watokea hukohuko, halafu huku tukiwaona tunawapiga vibaya، wewe labda unaongelea mashoga wa nchi zilizojifanya zimestaarabika, kule hakuna wakristi ni wapagani ndg yang. Sema watu wengi wanafikiri wazungu wote wenye majina ya Kikristo ni wakristo pasipo kujua historia yao!
 
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.

There is some truth in it
 
Labda watu wenyewe wa walipopita ndio wavivu mbona Hispania sio wavivu wala sio masikini?
 
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.


asante babu zetu waliwatimua wale mashetani
 
mbona matajiri wenu hapo bongo ni waarabu na wahindi...! mtoa mada alitaka kuweka kichwa cha habari hivi "kwanini waislam....." mtoa mada ni mdini wa kutupa ambaye si tija katika vuguvugu ma mapinduzi yanatoendelea katika inchi yetu
 
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.
poor analysis from a poor mindset.-
 
Nimefuatilia mambo mengi sana katika nyanja mbalimbali za mafanikio ila kwa ndugu zetu waislamu kwao imekua nikitendawili .

1. Tukianza kwenye upande wa ajira , idadi kubwa ya wanaoajiriwa sio wao hili nimefanya through observation ya majina yanayo tangazwa kila siku na utumishi na idara mbalimbali.

2. Nyanja ya Elimu, nawahurumia sana tukianzia kwenye shule wanazofanya vzr Tz hawapo , wanafunzi bora hawapo , vyuoni Dada zetu wa shugi ndo wanazidi kupotezwa na mabrother men!.

3. Mafanikio mitaani kwetu. Tukiacha wale top rich guys in Tz ! Idadi kubwa ya masikini ni waislamu .

!? Wanakwama wapi hawa ndugu zetu! Mindset zao zikoje compared na Jamii nyengine! Wanahuzunisha kwakweli! Kuna haja ya viongoz wao wa dini kubadilisha mindset za hawa ndugu zetu.

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom