Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

Status
Not open for further replies.
Turudi ktk swali la msingi,je waarabu waliacha athari hiyo ya uvivu kila walikopita? Kuna ukweli kwa kiwango fulani.Tukiliangalia suala kwa upenzi wa imani zetu hatutapata jibu.

Swali gumu. Hapa hakuna 1+1=2. Kila mtu ataongea kwa kudhani na their own personal experience na waarabu. Unless mtu anaweza kuja na kitu concrete mjadala hautaisha.
 
Swali gumu. Hapa hakuna 1+1=2. Kila mtu ataongea kwa kudhani na their own personal experience na waarabu. Unless mtu anaweza kuja na kitu concrete mjadala hautaisha.

Hapo penye italic ndo penye neno hasaaaaa.Kwa uzoefu wangu kidogo,mwarabu hamwendelezi mtu.Kwa hiyo mawazo yangu/uono wangu juu ya waarabu ni kwamba,wao ni kumdidimiza mtu ili asijitegemee daima,hasa kama wewe anakuona ni mtu daraja la pili.
 
Personally sijawahi kuishi na waarabu so sijui wakoje. Waarabu wote mimi ninao wafahamu ni wa kuangalia juu juu tu. Na kusema ukweli sina sababu yoyote ya kufikiria kwamba waarabu ndiyo chanzo cha umasikini. Sisemi kuwa siyo kweli nasema tu kuwa siwezi kudai hivyo. So wanaosema waarabu wana zuia maendeleo ya sehemu fulani lazima watoe logical reasoning yao mpaka wadhani ni hivyo. Maana mimi waarabu ninao wajua na kuwaona ni matajiri na wanao jiweza. Na pia swala lingine la kufikiria ni je wasinge pita waarabu maeneo hayo ndiyo yangekua na maendeleo kuliko sasa? Kuna ushahidi au logical reasoning wa kuonyesha hivyo?
 
Naomba niongeze,dokezo lingine litusaidie ktk mjadala huu,kwa nini vijana wengi wanasema/watasema kama umeajiriwa na mzungu una nafuu au kama kampuni yenu ni ya kizungu una heri,au kama kampuni yenu imechukuliwa na mzungu kuna uafadhali. Hao jamaa waarabu pamoja na utajiri wao binafsi walio nao,ukija ktk ranking ya waajiri watashika namba chini hata ya Mhindi, kwa nini?

Hata kama watatoa mshahara sawa ( wazungu,kaburu,mwarabu,mhindi,mchina nk) wabongo wengi/and other races watakimbilia kwa Mzungu kwanza,baada ya kukosa ndo wataenda kwa wengine. Anzia hapo kuangalia.
 
Let's wait and see wenye experience hizo mkuu. Maana kama nilivyo sema siwajua wala sijawahi kuwa na experience nao. So siwezi kuwa tetea wala kuwa pinga likija kwenye swala hili. Maana hata hilo la kazi mimi nilikua silijui.
 
Nilijua mwisho wathread hii utakuwaje, na hii ndio JF ya sasa, hakuna siku itakayopita bila kuwa na thread zenye content za hivi, it is well known waislam ni wavivu, wachawi, hawapendi kusoma, that is it, pana haja gani ya kurudia kila siku, mind your own business you civilized people waacheni hao mambumbu waendelee namaisha yao!

hivi ni kweli ombaomba waliozagaa Dar wengi wanatoka mikoa ya pwani?
ni kweli kuwa mikoa ya pwani haina maendeleo kwa kuwa ni wazembe au nini kilifanyika,

Tanga ilikuwa na lami before 60's hadi pangani, ilikuwa na viwanda na mashule, then what happen!! bado tanga mpaka leo inapendeza!

tehetehete Zanzibar napo pana omba omba!!!
na Dar je iliendelea toka enzi gani? kama sio kabla ya hao wanajiita civilized kutoka huko bara kuahmia Dar,
wasomi wa mwanzo TZ walikuwa akina nani soma historia ya uhuru ukitaka kujua ukweli wa mikoa ya pwani!


 
Hii unayoongea wewe ni stereotype tu maana si kweli kuwa ni hawa tu ndo maskini .Ukiangalia takwimu za nchi yetu watu zaidi ya asilimia 80 ni waskini wanaishi chini ya dola moja kwa siku je Hawa wote Ni Wa huko walipotembelea waarabu? Please kuwa makini na fikiria kabla kutuconvince unavyotaka tujue
 
Turudi ktk swali la msingi,je waarabu waliacha athari hiyo ya uvivu kila walikopita? Kuna ukweli kwa kiwango fulani.Tukiliangalia suala kwa upenzi wa imani zetu hatutapata jibu.


Kuna neno la kiingereza linaitwa "legacy" ambalo kwa tafsiri ya kiswahili ni hiba au urithi. Ni mtu mbumbumbu pekee ndio anaweza kupuuza kuwa huwa kuna hicho kitu hasa pale jamii moja imeitawala/kuikalia jamii nyingine kwa muda mrefu, moja ya vitu wanavyovirithisha baada ya kuondoka huwa ni utamaduni kwa maana ya dini, desturi, "ustaarabu", lugha, vyakula, mfumo wa utawala, na vitu vingine kadha wa kadha.

Kwa jamii zilizotutawala, kila moja iliacha legacy yake nyuma na waarabu wakiwemo. Vitu walivyoviacha waarabu ni pamoja na dini ya Kiislamu, lugha yao ya Kiarabu, na utamaduni uliosambaa zaidi mikoa ya pwani wa kamfumo ka "umwinyi". Nenda Zanzibar, Pemba, Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Tabora mjini, Usoke (Urambo), Lamu, Mombosa, Ujiji Kigoma na sehemu nyingine moja ya tabia kuu ya wakazi wengi wa maeneo haya niliyotaja ni "umwinyimwinyi", ambao huambatana na kujiona kuwa wako juu ya wengine na kwamba wao ni wastaarabu hivyo ufanyajikazi wao unakuwa wa kistaarabustaarabu hivi, ambao kwa kiwango cha wananchi wengine unaonekana kukaribiana na uvivu! Huu ndio ukweli ambao hata kama waweza kuupinga kwa maandishi lakini lazima nafsini unafahamu hilo.
 
Bunduki,
Umenifanya niandike maneno mawili matatu. Uliyoyasema ni kweli tupu.

Mie natokea Sikonge. Kijiji chetu miaka ya nyuma, Wakatoliki walianza kujenga misheni yao. Bahati mbaya sana ni kuwa sehemu waliyotaka kujenga, ilikuwa mita kadhaa kutoka kwenye msikiti mkuu wa kijiji. Ugimvi mkubwa sana ulizuka hadi mwisho Wamisheni hao walikimbia na kuhamia mbali sana kutoka Sikonge.
Marehemu baba yangu alituambia siku moja kuwa "Kama Wamisheni wangelikuwepo hapa hadi leo, wanangu mngelikuwa na ndugu na jamaa dunia nzima. Na wangelikuwa wamesoma na kushika nyadhifa mbalimbali ...."

Nafikiri Wazungu uzuri wao siku zote kazi zao wanazozifanya, huweza kuwajuvya hata wafanyakazi wao. Hutumia nyenzo za aina mbalimbali jambo ambalo huwafanya hata mipingo kuanza kufikiri tofauti ili kukwamua maisha yao. Hii unaweza kuiona Bukoba, Kilimanjaro, Mbeya nk.
Waarabu kama ulivyosema nu "UMWINYIMWINYI" na kupenda sana neno "mie Mstaarabu". Unakuta Mswahili anaiga huo USTAARABU. Ataamka asubuhi kipindi cha Masika, kuvaa kanzu yake nyeupe, kwenda Madukani hapa Sikonge na kujipitisha kwa Hemed Nassoro (mzee wa mabasi ya Sabena) ili akaribishwe Kahawa. Baadaye atarudi kwake na kujisifu jinsi alivyo na urafikiri na Hemed Nassoro. Tofauti kubwa hapa ni kuwa: Wakati yeye kaweka biashara ya kuuza visindano na unga wa mahindi, Hemed Nassor ana mabasi, ana maroli ambayo usiku haijulikani yanaenda wapi na kurudi alfajiri na anaduka kubwa sana linalouza vitu kibao. Time to time wanapotea na kwenda Muscat (Oman) na kwenda kuzikusanya dola. Wakirudi na hizo dola zao kadhaa, huanza kutanua na kuweka miradi yao ambayo huanza kufaidi tu faida huku watoto wao wakiendesha hiyo miradi au kuwakabidhi WAFANYAKAZI WATIIFU kuendesha hiyo biashara kwa kuwapa sifa kibao na mwisho wa siku jamaa hata nyumba hawana.

Ukweli ni mmoja. Waarabu wanaoishi na sisi huku, wengi wao ni JUA KALI. Ila wanaishi kwa GIA ya kujifanya wao ni MATAWI. Na kwa kuwa sisi MIPINGO tuna kaushamba fulani, huendelea kutufunga magoli siku zote. Urahisi wao wa kwenda Nchi mbalimbali duniani, huwapa vi-dola kadhaa ambavyo wakirudi navyo Tanzania, huanza kutesa. Sisi na ushamba wetu huwa tunawaona jamaa MATAJIRI na mfano wa kuigwa.
Wazungu uongo mbaya. Kwanza wengi wanalipa vizuri. Pili huwapa changamoto sana wafanyakazi wao kwa kuwafundisha ujuzi tofauti. Ndiyo maana utaona kuwa Mikoa iliyokaliwa na Wazungu kwa sasa iko mbele saana kulinganisha na mikoa ambayo haikukaliwa na Wazungu.

NB: Jamani, Mikoa ya Shinyanga/Mwanza ina wachawi wakali sana, ila ni WACHACHE SAANA. Mkoa tata ni Rukwa/Sumbawanga. Huko pia ukitafiti sana, kuna wachawi wachache ila sema ni WAKALI sana sana. Maendeleo ya kule nafikiri yanakwama sana kwa ajili ya USAFIRI. Vinginevyo, walikuwa na kila sababu za kuwa wameendelea. Hebu angalia mji wa Sumbawanga kwenye GOOGLE uone ulivyopwangwa vizuri, kulinganisha ni miji ya Kiswahili kama Dar, Tabora, Morogoro, Pwani nk
 
waarabu walikuwa hawataki watu wasome elimu dunia..maana walijua wakisoma watajanjaluka ..kwahiyo walitaa msome ma quran tu na majuzuu ambayo hayawasaidii lolote...kama mtu huna shule kwanza.
 
Mkuu;
Huyu jamaa mnalaumu bure, hawa jamaa kweli ni wavivu sana, namuunga mkono,hau mmeguswa nini.Yeye ameangalia hawajamaa waliweka makao wapi wakati wa ukoroni na akaanzia hapo kuleta mada sasa sijui mnamlaumu nini, nenda Tabora, Tanga nk angalia walivyopanda miembe mitupu na umasikini unavyotawala.
 
Kwani waarab,waingereza na wajeruman ni yupi wa mwanzo kufika maeneo hayo? na ni yupi wa mwisho kuondoka??Kama kuna uvivu mi sidhani kama unahusiana na waarab,maana waingereza na wajeruman wametawala nchi nzima lkn still kuna tofauti za kitabia miongoni mwa watanzania.Mbona waarab wenyewe si wavivu,tena matajiri tu.Kama kuna **** uvivu katika mikoa iliyotajwa(sidhani kama ni kweli) basi ni tabia tu ya wahusika wenyewe.
Kunywa kahawa nafikiri hata western world watu wanakunywa kahawa tena sana tu na si wavivu.Sema Wazungu wanakunywa restaurant na wamwambao wanakunywa magengeni.
Wanaume kuwa na wanawake wengi ni jambo la kawaida,mara ngapi tunasikia watu wa mikoa isiyotajwa hapo wamefumaniwa.Wanachokifanya hao unaowaita wavivu ni kuwa na wake wengi officially.Ukweli ni kwamba zaidi ya 80% ya wanaume (including You,if You are a man) huwa wana wake/girlfriends zaidi ya mmoja .
 
Unapimaje quantity ya uchawi mkuu. Kigezo kipi hasa kimekufanya ufikie kusema huko Shinyanga etc kuna uchawi zaidi? Is there a measurement or any statistics mkuu? Or at least useme how you figured that they is more which craft there than here.

swali hilo hilo muulize huyo aliebandika thread yake na kuwaita watu wanaokaa ukanda wa pwani wavivu
 
Waarabu, kaazi kweli kweli, Majini + Mashetani + Dini ya Wamanga = Umaskini = Arab/Islamic Civilization.


.
Mwenzetu wewe dini yako ni ipi? Au huna dini.

Kama ni mkristo! basi na hiyo ni dini ya wazungu ilikuwaje na wewe si mzungu?

.
Fikiri kabla ya kusema kauli nyengine huonyesha jinsi vile mtu alivyo.
 
.
Mwenzetu wewe dini yako ni ipi? Au huna dini.

Kama ni mkristo! basi na hiyo ni dini ya wazungu ilikuwaje na wewe si mzungu?

.
Fikiri kabla ya kusema kauli nyengine huonyesha jinsi vile mtu alivyo.


Hivi ni wapi na/au kivipi Ukristo ni dini ya Wazungu? Weka ushaidi tuone na sio maneno matupu bana.

Uislam inajulikana kote kuwa ni dini ya Wamanga, ndio maana allah wenu lugha yake pekee ni kiarabu, na ninyi wanyenyekevu mnafuta na kusujudu utamaduni wa wamanga. Vazi lenu kuu la dini ni-la kimanga, misikiti yenu inaelekea umangani, koran mnakaririshwa kimanga, lafudhi ya maneno yenu ni ya kimanga, mnaswali kwenye mikeke kama wamanga wasio na miti ya kutengeneza mbao,

Kaazi kweli kweli,
 
Nani kakuambia hawa niwavivu? au kunywa kahawa ni uvivu? mbona hii nimikoa iliyoendele kuliko mingi mingine? Hivi wazungu hawakupita kwenye mikoa hiyo?

Hivi uelewi kwa wazungu kamvile UK pia Amerika kunawatu hawajawai kufanyakazi wanakula benefit za serikali? Nadhani un Brain Demage kamaumeingia hapa JF na haka ka-thread kako, hilisio janvi la kukurupuka. Think first before your write you pumba
Mkuu bado unaweza kutumia lugha ya kawaida ukaeleweka sio mpka utoe kashfa..jamani where are we taking JF?
 
JF ni kokoro linakokota kila aina ya watu.Kuna waharabu na waarabu,kuna wenye ajenda zao za chuki dhidi ya binadamu wengine na kuna wengine wana upendo kwa mankind.Wtanzania wavivu kwa ujumla na tabia hii huwezi kulaumu waharabu au waarabu,hii ni chuki dhidi yao.

Haya ni mapandikizi ya chuki tu..kwa waharabu,watu wa pwani na waislamu.Pumba hizi!
 
.
Mwenzetu wewe dini yako ni ipi? Au huna dini.

Kama ni mkristo! basi na hiyo ni dini ya wazungu ilikuwaje na wewe si mzungu?

.
Fikiri kabla ya kusema kauli nyengine huonyesha jinsi vile mtu alivyo.

Huyu dini yake ni ile ya kutoa mapepo(au majini)na sample za aina hii ndizo zinazoleta uchochezi na chuki katika jamii.
 
Huyu dini yake ni ile ya kutoa mapepo(au majini)na sample za aina hii ndizo zinazoleta uchochezi na chuki katika jamii.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=whjZTug_O-Y&feature=related"]YouTube - andre crouch--Jesus is the answer[/ame]

You are correct, I rebuke demons/jinns ambazo mnazifuga, out of people, in the name above all names, Jesus Christ, The Lion of Judah.

When I call The Name Jesus, the Devil and demons/jinns, wanatetemeka, na kupagawa.

Good News. In the name above all names, Jesus Christ, watu wanafunguliwa, ponywa na kuwa huru.

Jesus is the answer

Sasa niambie, ubaya upo wapi watu wanapofunguliwa kutoka katika majini na shetana na kuwa huru?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom