Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?

Jitahidi kuepuka mwenzio asichopenda na jitahidi kumsikiliza na kumheshimu! Mi huwa siamini kama kuna mwanaume mkorofi kama mwanamke akibehave inavyotakiwa tu! Tatizo sie wadada tunataka kuwa sawa na wanaume ndio shida!
tatizo mnaudhi mkuu hamtaki kuelewa
 
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah
Tehee,kwamba asiache kuomba pesa! Kwenye kuomba pesa hapo tupunguzeni,omba inapobidi tu! Hapa napo ndo tatizo
 
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah

Hapo mwishoni umenikoshaaaa
 
Hatua ya kwanza punguza jaziba maana kuacha kabisa najua huwezi. Ukiliweza hilo nitakushauri lingine.
 
nipo cool sana usinijudge kwa mambo ya jf
Kama ni hovyo basi ni vizuri, la pili wanaume wengine hawapendi kupiga simu bila ya sababu za msingi, hasa wale wanaopanga kujenga maisha na wewe ukiacha wale maprayers. Usijali sana kama hujapigiwa simu ukazadhani hupendwi atiii. Pesa wewe omba tu kistaarabu haina isipokuwa ukiambiwa sina kuwa muelewa basi, na husiombe kwa kukusudia kumchuna atajua tu.
 
hapo kwenye simu nashindwa kujikaza siku nzima usiponitafuta naumia sana nitakuacha tu
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
utani hutaki wakati ushaanza kuleta jokes by the way maisha ya mapenzi haya formula maalum binafsi me napendaga sana hizo old styles
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!

USIWE
Msiri kwake
Mjeuri
Unamlinganisha na wengine
Unajikopea tu huko kwenye vikoba vyenu
Unahusisha sana familia ya ulikotoka na hii unayoishi.
 
Back
Top Bottom