Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?

USIWE
Msiri kwake
Mjeuri
Unamlinganisha na wengine
Unajikopea tu huko kwenye vikoba vyenu
Unahusisha sana familia ya ulikotoka na hii unayoishi.
ahahaaa mkuu umenichekesha sana kuna mama kakopa huko kaweka rehani nyumba yao na wakati wamepangisha mume hana taarifa ndo kaja kusthuka juzi inataka kuuzwa mwenye nyumba kawapeleka polisi ni kesi imekuwa shida
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
Mtoto akishaota meno hawezi kunyonya kwa kumung'unya.Wewe umekomaa lazima utakera tu,ndio ubinadamu huo kukera na kukerwa ndio maisha!
 
mwanaume ndio kiongozi jamani kwani yeye anapoamka kama ananipenda kweli si inatakiwa anitafute ajue huyu mpenzi wangu yupoje leo?

Mambo ya simu usijali sana, ukimuona mvivu sana mkumbushe tu baby hata simu jamani, huku unajibabisha kweli.
Lingine jiepushe na mashost wasiojitambua wao wanafikiria bata tu bila ya kuzingatia kipato, na kudhurura kama kuku wa kienyeji au kunguru hafugiki vile.
 
ahahaaa mkuu umenichekesha sana kuna mama kakopa huko kaweka rehani nyumba yao na wakati wamepangisha mume hana taarifa ndo kaja kusthuka juzi inataka kuuzwa mwenye nyumba kawapeleka polisi ni kesi imekuwa shida

Ndio changamoto kubwa kwa siku hizi yaani vikobana nyie wanawake sijui nani kawaroga??
Binafsi sivipendi kwakua vinaamsha tamaa.
Unakopa.
Pesa unafanyia unayoyajua wewe.
Yakikushinda unakuja unalialia usaidiwe kulipa
INAKERA SANA YAANI
 
sky issue sio maisha mazuri tatizo wenzetu wana masharti sana
mfano swala la sex wao wameliweka namba moja wengine hatutaki kuzini
Kah! yaani unataka mwanaume halafu hutaki kuliwa?......Kama unataka mwanaume wa hivyo kumchukue mochwari au shoga.
 
Dah....very simple..... mgongeshe kila mara...msifie...usivae nguo ukiwa naye...ukifanya hayo wewe muombe hela na offers ...Hata kama hana atatoka usiku akakabe
 
Watu wanaweza kukupa ushauri wa mwanaume mpole kama Kikwete. Lakini kumbe mwenzetu umepata Magufuli haambiliki wala asikiki.

Ndukiiiii
 
papuchi itatoka kwa makubaliano maalumu sana yaani hapo ndo pagumu
Ennh Papuchi kwa makubaliano tena? Umenikumbusha Familia fulani hivi ya Mdada tulikuwa tunafanya nae kazi yaani Mumewe siku akitaka kudu lazima awe na pesa yaani anatoa Pesa kwanza... yaani walijiwekea kabisa huo utaratibu wao wenyewe na hiyo ilitokana na jinsi walivyokutana hadi wakaoana... Alikuwa akinihadithia nashangaa sana. Na mwenyewe anamjua mumewe ni player so huwa nje nako anatoa pesa why not kwa mkewe na ndio alivyozoea
 
Tabia hatufanani kutofautiana ni sehemu moja wapo ya kujua mapungufu ya mwenzio kwaiyo usiogope kutofautiana mandhari kila mmoja kamkubali mwenzie haina shida
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
SHIKA DINI!
 
Back
Top Bottom