Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?

Anza kwa kubadili jina lako...

Hutulii, kila thread unapata mwanaume!!!!!!!!!!!!!!!!!

[HASHTAG]#wivu[/HASHTAG].com
 
The average woman would rather have beauty than brains, because the average man can see better than he can think.
 
Believe me ukimpata mwanaume anaekupenda hata umwambie kichwa kinakuuma kila siku hujisikii ku sex ataelewa na atakupeleka kwa dr, lakini ni pale akigundua kuwa unamzingua hasira zake sasa. Mwanaume akikupenda hata usipojua kupika, wageni wakija atakwambia mkatie vitunguu na nyanya yeye atapika na mnakaa wote jikoni kuuwa soo. Mwanaume akikupenda hata CCM utaona ni chama bora.
Huu ni uchochezi sasa!!
 
Ukitaka uishi na mwanaume milele we nyenyekea kwake, mheshimu na kama una mdomo punguza au ikiwezekana acha kabisaaa mdomo.

Ukishaweza hayo mwanaume ni wako milele
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
Mamaa.. we tafuta wa kufananae nae,,, hakuna alie kamili ila wachagua ambae ataweza ishi na kasoro zako na utaweza ishi na kasoro zake,, ila tu cha msingi kuwe na 'LOVE' kati yenu,, maana mengine yote yatatokea na kupita na kubishana na kugombana ila LOVE ndo kitakachowaungamisha pamoja milele yan..
 
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.

Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na mwanaume bila kumuudhi maana mimi hapa nina old style ambazo humu naona wengi hamzipendi japo kwangu sioni zina shida mfano kuomba hela, kupenda offer n.k.

Anyway naweza kuacha kuomba hela japo sio fair lakini ila haya niashaurini nibehave vipi nisije kupeperusha ndege wangu bure.

Utani na matusi tuweke pembeni!
Kuwa muelewa na kumsoma kiundani na ujue nini anapenda na nini hapendi.akitaka chochote ww mpeeeee ata hela hutoomba utaona unawekewa tu kwa meza.tahadhari usije mpatia 0710
 
babe...mshauri kwa sauti tulivu bila kelele au ugomvi

kujaliwa hakikisha always uko kwa ajili take,anaonekana smart..

usimhonge Ila hakikisha yuko vzr vzr mda wote!
hata kama anaongea pumba usikilize tu? kujaliwa unamaanisha nini? isije ikawa ni kumnunulia boxer na kumlipia bill
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom