Mwanaume, Fanya Hivi Ukishajua Tofauti Ya Kupenda Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui chochote kuhusu huyo mwanamke, na hata akiongea naye mara nyingi atajifanya haoni vitu vibaya na kuamini atabadilika akiwa naye/ atambadilisha.

Mwanaume akikutana na mwanamke mara mbili ivi na kumtumia hela kidogo anaona tayari mahusiano yameanza. Ataanza kumwambia mwanamke ‘nakupenda’ na kuanza kuongea naye mambo ya mahusiano au awe mke wake.

Mwanamke atabaki anashangaa kimoyomoyo au atamuambia “nini? Hata hunijui unataka unioe” au “hata hunijui vizuri unataka niwe mpenzi wako” au ataanza kumpa sababu zisizoeleweka ili wasionane tena na mwanaume anajibu “tutajuana tu” au kumjibu kama vile ni swali la mtihani. Mwanamke haiwezi kasi ya kupenda ya mwanaume, yeye hupenda taratibu.

Mwanamke kama maji, ili yachemke inabidi uwe na subira, yatakua vuguvugu kwanza kisha ndo yatachemka vizuri. Hivyo hivyo upendo wake, inabidi kwenda naye taratibu kadri unavozidi kumjua.
Ukiona unaenda naye vizuri alafu akasita ujue hajafikia mahali ulipo wewe kihisia. Wewe punguza kasi kwa muda kumsubiri, kisha ndio muendelee. kumbuka wao wanapenda taratibu, hawaiwezi kasi ya mwanaume ya kupenda.

Mwanaume ataonekana ana tamaa au anataka tu kumtumia mwanamke pale akianza kuongelea masuala ya hisia za mahusiano wakati hata hajamjua vizuri mwanamke. Mwanamke atamkataa mapema, anaweza hata asijue sababu ya kumkataa huyo mwanaume.

Kwaiyo cha msingi mwanaume weka nguvu zako kwenye kupata muda mzuri na mwanamke, kulala naye na kuwa pamoja, suala la mahusiano acha mpaka yeye akuambie (hicho ni kitengo cha mwanamke) kwamba yupo tayari kwa mahusiano, kisha wewe kazi yako ni kuyaongoza hayo mahusiano. Ila wewe ukitanguliza kutaka mahusiano utaishia kuomba omba penzi au kukubaliwa kwa kuonewa huruma au kukataliwa kabisa.
 
Hili group lenu mnaliita sijui INFINITE KIUMENI linatumalizia wanaume. Mnaleta mambo ya maigizo mnaacha uhalisia
 
sawa endelea kujidanganya usubir mpk mwanamke akuambie mwenyew
 
Ulale na mwanamke kabla ya kuwa na mahusiano naye?
 
Back
Top Bottom