Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

He who loves the Post, Loves the Poster. Rutashubanyuma na hapo hujaelewa?

[MENTION]kaizer [/MENTION]on this post there are more than 70 posters, my gut feeling tells me there is one whom you adore most.....May I take this auspicious occasion to spell the beans her name is........[MENTION]lemonade[/MENTION]
 
kaizer on this post there are more than 70 posters, my gut feeling tells me there is one whom you adore most.....May I take this auspicious occasion to spell the beans her name is........lemonade

hahahaha Rutashubanyuma, kuna post, na kuna thread. sasa usichanganye. Mi nimelove nini? lol
 
Last edited by a moderator:
I wish ningekufunulia zaidi ili kukuonesha hii kitu haina formula mfano nikiwa mwenyewe.........lol

lemonade nifunulie tu na ndiyo maana ya huu uzi.......ni kufunuliana tu bila ya kuoneana haya utupu wetu kwani kila mmoja ana wa kwake tena unafafana na wa mwenziwe...........lol
 
OOOOh...awe Ril man: anajielewa,...hapo hata akitaka tufyatue watoto 20 niko tayar:mwaaah:
 
Rutashubanyuma tunarudi kulekule kwenye mchubuo wa harusi shauri lake Kaizer picha can be deceiving at times

lemonade usififilishe mawazo yangu ya kuwa hata na wewe your avatar can be deceiving...lol

ninatamani kurudi kwenye uzi lakini kaizer kanitoa kwenye somo la leo........labda niende fb kidogo nikajitulize mawazo khalafu nitarudi tena........I used to be strong but age has also taken its toll on my .........actually nina mengi ya kuchangia kwenye hii mada lakini naona kama nimepoteza focus................sana tu
 
Kabla hatujaenda mbali Lizzy, Rutashubanyuma kaamua tu kujenga picha kwamba nimechungulia avatar yako...mi sina mazoea hayo kamwe...mi ni mtu wa issues tu...baaas

Kaizer............nilifikiri ulisema turudi kwenye uzi wa leo............
 
Last edited by a moderator:
lemonade usififilishe mawazo yangu ya kuwa hata na wewe your avatar can be deceiving...lol

ninatamani kurudi kwenye uzi lakini kaizer kanitoa kwenye somo la leo........labda niende fb kidogo nikajitulize mawazo khalafu nitarudi tena........I used to be strong but age has also taken its toll on my .........actually nina mengi ya kuchangia kwenye hii mada lakini naona kama nimepoteza focus................sana tu

hahahaah Rutashubanyuma talk to @ bana....sasa unanisingizia bure tu....kama fb nimeshatangulia kule
 
Last edited by a moderator:
hahahaah Rutashubanyuma talk to @ bana....sasa unanisingizia bure tu....kama fb nimeshatangulia kule

nina nadhari akama tano katika maamuzi ya mahaba lakini yanahitaji muda na sasa hivi nasikia usingizi kama vile nimeumwa na mbung'o ...................na kuniambukiza sleeping sickness..................................amenidunga sindano yake hewa...hivi.....
 
Kaizer............nilifikiri ulisema turudi kwenye uzi wa leo............

Ooh yeah....
:focus::focus:

Ningeongelea from a bilogical point of view siye kama wanyama wengine definately kina dada would go for a strong man in all aspects of life ambayo ni dalili pia ya kuwa na a strong generation ahead na uhakika wa survival, wale ambao ni weak watapata matatizo kumpata wa kumate naye.
 
Back
Top Bottom