Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Ndahani ni vyema tukapashana khabari hata tujue silaha za kubeba vitani.....lol
No doubt, everyone goes for the best...kama isingekuwa uoga wa kuchanga mbegu, watu wengine wangekuwa na full time job ya ku fertilize desperate people, keen to get the right person to father the kids. Na hili tatizo naliona zaidi as we evolve and mature...chaguzi zetu za kwanza zaweza kukosa mshiko kama atatokea mtu anayeonekana ku meet zaidi mahitaji ya mioyo yetu.