Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

Rutashubanyuma ungeandika kichwa cha habari kisicho na utata.
Kichwa cha habari ndio kinakufanya eitha uyasome ya ndani au usiyasome

Kwani utata uko wapi? Mwanamke hazalishwi na anayemzalisha si ana lake la kulonga pia? Bujibuji.............hili nimeliweka wazi pale niliposema yafuatayo

michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
 
Last edited by a moderator:
Labda # 1 itakuwa tabu kidogo, akiwa na mtoto inaweza kunipa matumaini lakini pia sio 100% maana uwezo wa kuibiwa pia upo. # 2 na # 3 sio tabu kabisa ukifanya homework kupitia mazungumzo, elimu, kazi, maamuzi yake unaweza jua IQ yake ni design gani ama hiyo ya maradhi nitajaribu kupenda kujua habari za kwao hata kufanyia upepelezi wa aina fulani itahusika.

MadameX kama ana magonjwa ambayo siyo ya kurithi huo uchunguzi wako utakwama.....kwenye namba moja huna ujanja kama mtoto siye wwake au hana mtoto kabisa .....na hizo 2 na 3............utakuwa unabahatisha tu..........nionavyo kinachokuongoza ni hisia tu kuwa hapa umevuna dume au hapa ni maumivu lakini ukitaka kuchambua utakuta kuna mengi yako nje ya uwezo wako katika kufikia mamuzi ya busara..............taarifa nyingi huna au ulizonazo hazitoshelezi kukufanya ufanye maamuzi mazito kama hayo.....................
 
quote_icon.png
By BADILI TABIA

mwenye sifa kama za mume wangu
[MENTION]
Badili tabia[/MENTION]..........................kama zipi?
 
Mi nafikiri kichwa cha habari kilipaswa kuwa,,unapenda uambukizwe ujauzito na kidume mwenye sifa zipi? ili kupunguza ukali wa maneno kama wengi walivyopendekeza.
 
Ofukozi za darasani, za maisha na kumcha Mungu ni mazingira ya makuzi lakini za darasani kama ni nazi ni nazi tu.

Kongosho ninafahamu wengi ambao darasani walikuwa magwiji lakini walipotoka pale na kujipatia cheti swafi wakaishia hapo.........siku hizi ni mataputapu tu..........................huwezi kuamini yaliyowasibu........katika za maisha utampimaje?
 
We usiyerudinyuma (@Rutashubanyuma) hapo kwenye C tu ndo mpango mzima, maana hakuna kilaza mwenye uwezo wa pesa yenye ushawishi.
 
Mi nafikiri kichwa cha habari kilipaswa kuwa,,unapenda uambukizwe ujauzito na kidume mwenye sifa zipi? ili kupunguza ukali wa maneno kama wengi walivyopendekeza.

KakaJambazi umefikiri vizuri tatizo huwezi kumuambukiza mtu kitu au ambacho wewe huna. Kidume hatuna ujauzito kwa hiyo hatuwezi kumwambukiza kijike kitu ambacho hatuna labda ningelisema kumdunga sindano na wako ambao wangelisema kicwa kina walakini mbona sindano watu hudungwa hospitalini..............kiukweli kichwa kipo mahali yake lengo ni kuwa na tungo tata......yenye kuzua mjadala....................kama huu unaoendelea.....................duh
 
Last edited by a moderator:
Lemonade.....mara nyingi huwa hatutafakari maamuzi yetu tunayoyafanya lakini kuna sababu za survial of the species ambazo hutuongoza bila ya kujua yule unayempenda mara nyingi ni kwa sababu unaona wewe na uzao wako utakuw salama kwa maana ya ana uwezo wa kuwajibika na kuitunza familia yake au ana maumbile ambayo wewe unaona yana afya tele..................na hili la brain power ni nguzo ya kuishi raha mustarehe..................kwa lugha nyingine penzi huongozwa na nia ya kuona kizazi chako kinaendelea bila ya mushkeli wowote ule.................sasa swali mwenye akili utamjuaje.........................???????

Hapo chacha..........wengi utazama kiwango cha elimu.............lol
 
We usiyerudinyuma (@Rutashubanyuma) hapo kwenye C tu ndo mpango mzima, maana hakuna kilaza mwenye uwezo wa pesa yenye ushawishi.

[MENTION]mbalu [/MENTION] tatizo la kipengele cha c hakiwezi kuwa dira ya yale mengineyo kuwa na pesa hakumaanisha utakuwa mcha mUngu.................tane yawezekana utajiri ukwa umeupata kwa wizi mtupu........
 
Hapo chacha..........wengi utazama kiwango cha elimu.............lol

[MENTION]lemonade[/MENTION] hata kam atabia yake siyo mtu mweledi wa maisha utazuzuliwa na shule pekee na pengine hata shule yeye mwenyewe haijamsaidia................itakusaidiaje wewe na wanao?
 
hakuna sifa kwahili yote nin ndani ya six ndio huishia hapo

Mwanaweja ni kweli ni hadi sita kwa sita..........huko mnafikishanaje au kwa kubakana? lazima kuna courtship na ili mfike huko lazima kuna vigezo kila mmoja kamshibisha mwenzie...........
 
Last edited by a moderator:
Mmh...I like that.....

Kaizer you like what..........spell the beans nautafanye nasi tuseme vivyo hivyo kama wewe bila ya kuweeseka...............
 
Last edited by a moderator:
kama umenielewa, tabia zingine unaweza mtengenezea mtoto lakini huwezi tengeneza uwezo wa ubongo wake.

Kufanikiwa baada ya kumaliza shule inategemea mtu alivyoandaliwa kukabiliana na changamoto.

Sifa zingine zote zinatengenezeka tu.

Kongosho ninafahamu wengi ambao darasani walikuwa magwiji lakini walipotoka pale na kujipatia cheti swafi wakaishia hapo.........siku hizi ni mataputapu tu..........................huwezi kuamini yaliyowasibu........katika za maisha utampimaje?
 
Back
Top Bottom